Recent content by mwanajamiiservices

  1. mwanajamiiservices

    JamiiForums Tanzania Ni combination gani rahisi ambayo mtu anaweza akaisoma kwa wale wanao re-seat mtihani wa Form Six?

    Oooh hapo ni typing error. Jamaa ali reseat form four. Sasa anataka akapige ile ya mwaka mmoja five na six. So anataka kujua ni combination gani nzuri na rahisi kwa advance. Maana anasoma akiwa home na kibaya zaidi ni mwajiriwa
  2. mwanajamiiservices

    JamiiForums Tanzania Anataka kwenda kujiendeleza lakini hajui ni course gani za Education ngazi ya Diploma ambazo zina soko kwa sasa

    Tatizo tayari ni mwajiriwa na hawaruhusu kubadili fakati
  3. mwanajamiiservices

    JamiiForums Tanzania Anataka kwenda kujiendeleza lakini hajui ni course gani za Education ngazi ya Diploma ambazo zina soko kwa sasa

    Anasema yeye ni mwalimu wa Darja la tatu A yaani mwalimu wa Msingi ngazi ya cheti. Anataka kwenda kujiendeleza lakini hajui ni course gani za education ngazi ya Diploma ambazo zina soko kwa sasa. Hivyo anaomba msaada wa kujulishwa ili aweze kuzifahamu. Naomba kuwasilisha.
  4. mwanajamiiservices

    JamiiForums Tanzania Ni combination gani rahisi ambayo mtu anaweza akaisoma kwa wale wanao re-seat mtihani wa Form Six?

    Ni combination gani rahisi ambayo mtu anaweza akaisoma kwa wale wanao re-seat mtihani wa form six. Ambayo mtu anaweza akajisomea mwenyewe na kwenda kufanya mtihani. Hasa kwa mtu ambaye tayari ameajiriwa?
  5. mwanajamiiservices

    JamiiForums Tanzania Ifahamu PID kwa kina sehemu ya kwanza: maana ya PID, inavyotokea, dalili zake na madhara yake

    Hiyo post ni kwaajili ya kutoa uelewa. Kama unashida au una mtu ana shida waweza wasiliana nasi kwa whatsapp 0625932259
  6. mwanajamiiservices

  7. mwanajamiiservices

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu ndugu zangu

    Hivi kwa mwalimu wa ngazi ya cheti akitaka kujiendeleza Diploma. Je ni course gani ambazo ni nzuri kusoma? Ahsate. Nawasilisha.
  8. mwanajamiiservices

    JamiiForums Tanzania Naomba mawazo yenu wadau

    Hivi kwa mwalimu wa ngazi ya cheti akitaka kujiendeleza Diploma. Je ni course gani ambazo ni nzuri kusoma? Ahsate
  9. mwanajamiiservices

    JamiiForums Tanzania Namna ambavyo shule na taasisi zingine za elimu zinaweza kukuza mawasiliano na wazazi/ walezi kupitia Bulk SMS

    Shule pamoja na taasisi zingine za elimu zinaweza kupata na kutumia fursa ya kutuma taarifa kwa mamia au maelfu ya wazazi/walezi na wadau wengine wa elimu kwa wakati mmoja kwa sasa. Zamani au kwa kawaida Taasisi hizi za elimu zilikuwa ama zinatumia njia ya karatasi (barua, flayers), email...
  10. mwanajamiiservices

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua hii ni processor ngapi kiuwezo

    Core i5 8generation.
  11. mwanajamiiservices

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa/ kufahamishwa kuhusu suala hili la ujauzito

    Ahsante kwa jibu lako.
  12. mwanajamiiservices

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa/ kufahamishwa kuhusu suala hili la ujauzito

    Kama yupo atujuze aisee
Back
Top Bottom