Naomba kujuzwa/ kufahamishwa kuhusu suala hili la ujauzito

Jul 24, 2017
31
17
Kwa mwanamke ambaye alipata tatizo la ectopic pregnancy (iliyojishiliza kwenye fallipian tube) na ikatolewa kwa upasuaji.

Je, anatakiwa kukaa muda gani ili aweze kubeba tena ujauzito?
 
Nafikiri daktari wa wanawake ana majibu mazuri zaidi.Au unaonaje mkuu?
 
Kwa mwanamke ambaye alipata tatizo la ectopic pregnancy (iliyojishiliza kwenye fallipian tube) na ikatolewa kwa upasuaji.

Je, anatakiwa kukaa muda gani ili aweze kubeba tena ujauzito?
Tafiti nyingi zinaonyesha miezi 4 hadi 18 unaweza kubeba tena ila kadri unavyojipa muda ndivyo unaimalika kiavya zaidi.
 
Back
Top Bottom