Yupo mtaalam CHIEF MKWAWA atakusaidia.nataka jibu la uhakika, ili niweze na mimi kujua kuzisoma mkuu
kwaiyo kaka mtu akiniuliza iyo computer yako processor yake ni ngapi jibu la haraka haraka natakiwa kumjibuje?Hiyo ni core i five generation ya 8 ina clock speed ya 1.6G yana ability ya kuprocess data , 1.8G inaaanisha kwamba unaweza kuboost iyo clock speed mpaka kwanye 1.8 G
processor yake ni core i5 generation ya 8kwaiyo kaka mtu akiniuliza iyo computer yako processor yake ni ngapi jibu la haraka haraka natakiwa kumjibuje?
Hii ni i5 gen ya 8. Hio cpu base clock ni 1.6ghz ila ina turbo hadi 3.9ghz.View attachment 1550494
je ni core(MT) i5-8265U CPU au 1.60GHz au ni 1.8GHz ??? msaada wenu wakuu