Recent content by MwanaharakatiReal

  1. MwanaharakatiReal

    Msanii mpya kwenye label ya darassa CMG

    Kabisa..! Wabongo Tuna Shida Sana Wengi Wetu Huwaga Hatupo Real
  2. MwanaharakatiReal

    Msanii mpya kwenye label ya darassa CMG

    Tumezoea KUKARIRI
  3. MwanaharakatiReal

    Msanii mpya kwenye label ya darassa CMG

    Kwani Darassa Yupo Kwenye Genge Lipi Mkuu?
  4. MwanaharakatiReal

    Msanii mpya kwenye label ya darassa CMG

    Kabisa.. Lakini Mwisho Wa Siku Waliomuita Mjinga Leo Sura Zao Wanazificha..
  5. MwanaharakatiReal

    Msanii mpya kwenye label ya darassa CMG

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  6. MwanaharakatiReal

    Msanii mpya kwenye label ya darassa CMG

    Kabisa Huwaga Wanafeli Sana Aisee
  7. MwanaharakatiReal

    Msanii mpya kwenye label ya darassa CMG

    Hahaha! Uwezo Anao Ki Aina Mkuu.. Mie Nimetazama Hii Video Clip [emoji117] Nimeelewa Alicho Nacho Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  8. MwanaharakatiReal

    Msanii mpya kwenye label ya darassa CMG

    Wengi Wanaanzaga Hivyo Nidhamu Nyingi Lakini Baadae Wanakujaga Kubadilikaga.. Sijui Wanafeli Wapi.. Lakini Huyu Uwezo Upo.. Nimebahatika Kutazama Video Clip Yake Nimeona Ana Kitu Ndani Yake.. Sasa Cha MSingi Asiwe Mzembe Tu..
  9. MwanaharakatiReal

    Msanii mpya kwenye label ya darassa CMG

    Darassa CMG Anasema Miongoni Mwa Wasanii Wapya Ambao Wapo Kwenye Label Yake Na Hana Mashaka Na Uwezo Wake Ni Huyu Hapa.. Anasema Kua Bila Shaka Anaweza Kua Mrithi Wa Young Killer Au Kumzidi Kabisa Young Killer Kutokana Na Uwezo Wa Utunzi Wake. Je? Maono Ya Darassa Yanaweza Kua Sahihi? Hebu...
  10. MwanaharakatiReal

    Wakenya! Wakenya!.... Naona sasa hadi Darassa mnataka awe wenu!

    Brand New Video FreeStyle Kutoka Kwa Msanii Ambaye Yupo Chini Ya CMG Label Ya Darassa.. Toa Mawazo Yako Darassa Amepatia KuSign Na Huyu Dogo Au?
  11. MwanaharakatiReal

    Tupia list moja ya nyimbo tatu kali ambazo huwezi kupita siku bila kusikiliza

    Chama Kimoja Pia Mzee [emoji111][emoji4]
Back
Top Bottom