you've did a lot already, nimeitazama yuchubu, nimecheeeeka.!! It has been years eti naitafutaga.!Hahaha unaitaka nikupe link au?
That's nice songs.nimeipenda lict1. Hillsong- grace to grace
2. Kany west- God is
3. Hillsong - let there be light (2016) album yote sasa ni week ya pili haibanduki masikion mwangu pale ninapo pata muda wakusikiliza music
Chillah alikuwa anaimba saana.enz hizo kuna ngoma nyingine inaitwa carolina naisilizaga saanaDelila-Q chief
Maua- Q Chief
Sing for u- Q chief
Hizi ni kama dozi kwangu
Hakika huyu kijana Cheed kwenye huo wimbo For You kaimba kwa sauti nzuri sana. Kwa mtazamo wangu kwa utamu wa sauti yake naufananisha na ya yule El DeBarge (Eldra Patrick) wa kundi la familia DeBarge aliyeongoza kuimba wimbo maarufu Rhythm of the Night miaka ile. Hongera kwake.1.Cheed ft marioo___For you
2.Rayvanny ft MayorKun__ Gimmi Dat
3.Bob marley___three little bird
Chama Kimoja Pia MzeeSad XXX tenction
Kanisa Dizasta vina
Mwanza rayvanny