Recent content by Mwanaharakati34

  1. M

    JamiiForums Tanzania Daaaah taifa langu jamani sijui tumeingiaje kwenye hiii hali ya sintofaham

    Huu nao labda ni Upepo tu? Alijisemea Muamar Ghadafi akiwa zake Ikulu akipata kikombe cha Ghahawa. Mungu atuepushe tusifike huko na aendelee kuwapa hekima viongozi wa Taifa letu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

    Killing Iran Top Military Commander widen Gap between America and Allies. CNN Time ya Mbabe wa Dunia ajidhihirishe sasa! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Hatimaye mwili wa mama na mwanaye waopolewa baharini

    Kweli kabisa, ingawa kuna wakati unakuta magari yanapangwa kiasi kwamba hakuna sehemu ya Dereva kutoka, milango yote imezibwa na magari. Ukijaribu kufungua hata mtu mwembamba kama Kipchoge hawezi kutoka mlangoni.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sitosahau niliponusurika kuchomwa moto tulipoenda kuiba mimi na rafiki zangu

    Pole sana kwa uliyoyapitia, si mchezo.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Si mchezo
  6. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA walaani viongozi wao kunyimwa dhamana. Wasema mpango wote unaratibiwa na ofisi kubwa

    Kuna watu wamepoteza ndugu kwa uonevu, ni kweli kwamba watu waendelee kukaa kimya?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni maandamano au ni mapinduzi?

    Watu elfu 10 mbona wengi, mia mbili tu zimerushwa risasi za kuua.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Ni muhimu kuweka muktadha wa mapambano ya kidemokrasia. Vitu muhimu vya kupigania ni hivi...

    Huku tumeshapita mbona, sasa hivi tuko kwenye tekinolojia ya risasi kupigwa juu kisha inakata kona...(Tuko mbari kweri kweri)
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

    Duh. ..Ma-great sinker (thinker) wa zama hizi. .kazi ipo.
Back
Top Bottom