KENYA: Hatimaye mwili wa mama na mwanaye waopolewa baharini

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,444
Mwili wa Mariam Kighendi (35) na Mwanaye Amanda Mutheu (4) tayari imeopolewa katika Feri ya Likoni, Mombasa huku ndugu na mume wa marehemu, John Wambua wakishuhudia baada ya gari lenye usajili wa namba KCB 289C kudumbukia na kuopolewa katika bahari ya hindi saa chache zilizopita.
Tayari miili hiyo imekimbizwa mochwari kwa ajili ya kusafishwa na kuandaliwa kwa mazishi.
Mume wa Marehemu, Wambura amehudhuria tukio hilo la uopoaji zoezi lililotumia takribani siku 13 tangu kudumbukia kwake.
Aidha, maafisa wa uchunguzi pia wamehudhuria tukio hilo la uokoaji na wapo tayari muda wowote kuanza uchunguzi wa tukio hilo.
Msemaji wa Serikali, Cyrus Oguan amesema iliwalazimu kukodisha vifaa vyenye teknolojia kubwa kusaidia kuopoa gari hilo lililokuwa na miili ya mama na mwanaye.
Mariam na mwanaye walifariki baada ya gari lao kuteleza kutoka kwenye kivuko kilipokuwa kinakaribia kutia nanga na kuzama baharini wakati wakivuka bahari kwa kutumia kivuko cha MV Harambee.
Tukio hilo lilitokea Septemba 29, mwaka huu katika feri ya Likoni nchini Kenya.
 
This is very biggest shame for Kenya alikuja Diver kutoka Europe voluntarily to do the task very early days baada ya hilo janga,aliishia kukamatwa na kuhojiwa na vyombo vya usalama nakuwa harassed, akaamua kurudi kwao
 
This is Africa,shitholes
This is very biggest shame for Kenya alikuja Diver kutoka Europe voluntarily to do the task very early days baada ya hilo janga,aliishia kukamatwa na kuhojiwa na vyombo vya usalama nakuwa harassed, akaamua kurudi kwao
 
Hivi ina maana bahari ya huko kenya hainaga samaki au wapo ila wanashiba sana
 
Tatizo abiria wengi wenye magari,hawataki kufuata masharti ya vivuko. Unatakiwa,Unapovuka na gari unaambiwa usikae ndani ya gari. Unaliingiza kasha unatoka unaenda kukaa sehemu ya abiria, huu ndio utaratibu.
lakini wenye magari hawataki kushuka utadhani walizaliwa ndani ya magari yao.
 
This is very biggest shame for Kenya alikuja Diver kutoka Europe voluntarily to do the task very early days baada ya hilo janga,aliishia kukamatwa na kuhojiwa na vyombo vya usalama nakuwa harassed, akaamua kurudi kwao
naona kama wamejiepusha na kudharauliwa na wananchi na mataifa mengine. hatuwezi tukamtegemea mtu mweupe katika kila kitu.
good move.
 
This is Africa,

Kweli kabisa, ingawa kuna wakati unakuta magari yanapangwa kiasi kwamba hakuna sehemu ya Dereva kutoka, milango yote imezibwa na magari. Ukijaribu kufungua hata mtu mwembamba kama Kipchoge hawezi kutoka mlangoni.
Tatizo abiria wengi wenye magari,hawataki kufuata masharti ya vivuko. Unatakiwa,Unapovuka na gari unaambiwa usikae ndani ya gari. Unaliingiza kasha unatoka unaenda kukaa sehemu ya abiria, huu ndio utaratibu.
lakini wenye magari hawataki kushuka utadhani walizaliwa ndani ya magari yao.
 
Kweli kabisa, ingawa kuna wakati unakuta magari yanapangwa kiasi kwamba hakuna sehemu ya Dereva kutoka, milango yote imezibwa na magari. Ukijaribu kufungua hata mtu mwembamba kama Kipchoge hawezi kutoka mlangoni.
HAPO SASA NI UZEMBE WA FERI OPERATOR, wana takiwa kuhakikisha kila gari, mizigo, na abiria wako sehemu zinazotakiwa kabla hawajaondoka. Kuna gates kuzuia over loading, na wana vipimo kuangalia kama uzito uko sawa au umezidi, lakini wengi hupuuzia na hapo ndio vifo hutokea.
 
Kwa iyo wakaamua siku 13 kuopoa gari huoni kama bado mataifa mengine yamewadharau ......
Unaruka mkojo unakanyaga mavi
naona kama wamejiepusha na kudharauliwa na wananchi na mataifa mengine. hatuwezi tukamtegemea mtu mweupe katika kila kitu.
good move.
 
Tatizo abiria wengi wenye magari,hawataki kufuata masharti ya vivuko. Unatakiwa,Unapovuka na gari unaambiwa usikae ndani ya gari. Unaliingiza kasha unatoka unaenda kukaa sehemu ya abiria, huu ndio utaratibu.
lakini wenye magari hawataki kushuka utadhani walizaliwa ndani ya magari yao.
Na wengine hawazimi magari wanaendelea kutumia ac, hivyo huwafanya wakajisahau na kuhatarisha maisha yao.
 
Ki utaratibu abiria hapaswi kuwa ndani ya gari likiwa kwenye feri, lakini hawa wenzetu wenye magari, hawataki kushuka, utasikia uko nitakaa wapi,au watuwananuka vikwapa, au joto au baridi.
Ajali kama hizi zingezuilika kama wasimamizi vivuko wangefuata na kusimamia sheria au utaratibu wa vyombo hivi vya majini.
 
Kwa iyo wakaamua siku 13 kuopoa gari huoni kama bado mataifa mengine yamewadharau ......
Unaruka mkojo unakanyaga mavi
ni bora udharaulike kwa kuchelewa kufanya kuliko kudharaulika kwa kushindwa kufanya na kutegemea mtu mwingine.
 
Back
Top Bottom