Daaaah taifa langu jamani sijui tumeingiaje kwenye hiii hali ya sintofaham

Tusali sana.... ndio tiba yake?



_____________________________
" With or without religion, good people can behave well and bad people can do evil; but for good people to do evil - that takes religion.
 
Kabisa unaongea kinabii na mimi nakuunga mkono kwani naona pia tunaelekea pabaya na watu wanaonekana kuchoka na kukata tamaa. Kuna ujinga mkubwa sana kati ya watawaliwa na pia watawala wa kipindi hiki ndio usiseme ni hatari.

Kuna watu fulani wanataka kufanya kama wapendavyo bila kujua wanaweza wakajikuta ni wakimbizi wa nchi yao wenyewe. Watu fulani wamesambazwa kila kona kunyamazisha kila anayejaribu kusema ukweli, ni hatari sana.
 
Kifo cha Akwilina mwisho wa picha ccm wamuangushia jumba bovu Hon....Mbowe...nanilijua hili lazima litatokea ....Hila dk mashinji kwakuwa yuko ccm kaachiwa huru hakika ccm niwapumbavu sana.... Mungu anawaona kwa ufedhuli mnaoufanya.
 
Kabisa unaongea kinabii na mimi nakuunga mkono kwani naona pia tunaelekea pabaya na watu wanaobekana kuchoka na kukata tamaa. Kuna ujinga mkubwa sana kati ya watawaliwa na pia watawala wa kipindi hiki ndio usiseme ni hatari.

Kuna watu fulani wanataka kufanya kama wapendavyo bila kujua wanaweza wakajikuta ni wakimbizi wa nchi yao wenyewe. Watu fulani wamesambazwa kila kona kunyamazisha kila anayejaribu kusema ukweli, ni hatari sana.

Mkuu kuna watu wanadhani kuwa tunachooongea ni utani Lakini, hali ni mbaya mno, mno kuliko watu wanavyofikiria, taifa lolote lile likianza kuwafunga wanasiasa hapo ujue taifa liko Njiani kuingia kwenye machafuko mabaya Sana, na tatizo kubwa ni kukabidhi watu madaraka ambao hawakuwahi kutegemea kushika nyadhifa Kama hizo, ni hatari sana,

ujitahid kuwapa madaraka watu ambao hata Ndugu zao waliwahi kuwa viongozi au ukooo huo unakipaji cha uongozi, ujue nimegundua kuwa kuna hatari kubwa kumpa mtu madaraka makubwa ambae hakuwahi kutegemea kuwa anaweza kuja kuwa na cheo hicho, kuna hatari kubwa tunakoelekea kumbuka kuwa unavyoongeza watu wenye maumivu ya mioyo ujue kuwa ndivyo unavyozid kuongeza maadui wako hadi Kwenye vyombo unavyovitegemea kukulindi, polisi, Magereza, usalama wa taifa na jeshi

kumbuka hawa ni watu wametoka kwa jamiii kwa Namna moja Au nyingne huwezi kumkosa mtu ambae ana undugu na membe kwenye hivyo vyombo, Au mbowe, Hechei Au wengne hivyo mdogo Mdogo utakuta uhasama umehama toka kwa wananchi umeingia hadi ndani ya vyombo unavyoviona kuwa vitakusaidia,

Tatizo watu wanashindwa Kuelekea mazingira kuwa hutofautiana Kati ya nchi na nchi, mfano unaweza ukadanganywa na kagame kumbe kaeneo ka kagame ni sawa na eneo la morogoro tu anauwezo wa kuweka Ndugu zake wakasimamia kila mmoja akamsimamia mwananchi kwa kumdhibit na utasema kuwa unamuondoa Hechei, kumbe ukazaaa mahechei zaid ya kumi

Kitu ambacho watu wanashindwa Kuelewa na Kujiuliza nikuwa hivi Nina alitegemea magufuli kuwa raisi? Jamani mipango ya MUNGU inaweza ukajikuta uko mahali ambapo hukuwahi kutegemea ikiwa Tanzania inaweza kujikuta ikiwa kwenye mkondo mwingne kabisaaa
Dunia ya sasa mwanasiasa hapaswi kujisahau lolote hutokea muda na Wakati wowote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitakacho tokea Mungu anakwenda kuwagawa dola mara mbili na watapigana wao wao kundi moja likiwinda viongozi wa kisiasa waliotufikisha hapa na lingine wananchi la wananchi linakwenda kuahinda ila raia watakipata kidogo ili kuondoa ujinga na unafiki uliotutawala kisha taifa jipya litazaliwa lilo huru. Let's prays for this to happen soon. Ni ndoto tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu nao labda ni Upepo tu? Alijisemea Muamar Ghadafi akiwa zake Ikulu akipata kikombe cha Ghahawa. Mungu atuepushe tusifike huko na aendelee kuwapa hekima viongozi wa Taifa letu.
 
Kawachangia CDM 38M sijui hata anatoa wapi hii hela. Kugawagawa hela ya nchi kwa sifa binafsi kumezidi. Kweli Nyerere amewapita kwa mbali mno.
 
Back
Top Bottom