Recent content by mwanagezi

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USHAURI: Nini cha kufanya kama mwenza wako alikuficha kuwa ana mtoto, Ukaja kujua baada ya miaka zaidi ya 10 baadaye?

    Ndio ukisikia unakula kuku na mayai inakuwa Kama ivyo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili ubaguzi wa aina hii uondoke? Je, Afrika tunaweza jitegemea?

    Sawaa tuu,walifuata Nini kule wakti kiasili ni kigoma ujiji.
  3. M

    JamiiForums Tanzania NSSF yauza Dege Eco Village Kigamboni kwa bilioni 501, mnunuzi afichwa

    Salio lako jipya ni TSh 112. Umepokea TSh 4 kutoka kwa TIGO GAWIO, Kumbukumbu No.: 13760462126. 25/09/23 00:06. Tigo Pesa ni zaidi ya Pesa!🥱🥱🥱
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Story tamu xna
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo Kausha Damu ya Kimtandao

    Kuna jamaa yangu kawazingua,hawahawa mkopo powa na mdhamin kaniweka Mimi,anapigacmu Kuna mtu tunamdai harafu anatutukana na wewe ndio mdhan wake,nikawauliza mnataka nimdhamin?wakajibu tumeshampa ela tayri.kwanini hamkunipigia kabla ya kumpa?wananiambia cmu yangu ilikuwa haipatikani.achanani na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad: Hakuna bandari inayouzwa, ni uelewa mdogo wa watu

    Ashalamba Aswali tayri,hakuna bayaa atakuja kuliona kwasasa,
  7. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo imelaani mapinduzi ya kijeshi nchini Niger

    Huku kwetu tumeaza kuona matunda ya Dp world,Leo vijana wetu wamepewa net za msada kwa shule za msingi.safi Sana mama.[emoji16][emoji16][emoji16]
  8. M

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Endelea tupe utamu meku
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwajili ya kujifunza kucheza casino mtandaoni

    Weka maelezo hayo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anahamasisha vurugu nchini kwa kuwa watoto wake Wana Uraia wa Marekani?

    Unatumia maneno mengi harafu ni ujinga mtupu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tuliopitia Vita Na Chuki Makazini Tushirikishane Hapa

    Aaaaa wapi,tarifa zilivuja Toka kwa HR kuwa barua iko mezani ya kwangu,nikakubali kuunda urafiki na adui yangu wa zamani ili nipate voice note.na kweli nikazipata na kuzimwaga hewani jinsi wavyotia kampuni hasara,Tena kwao jambo lilikuwa kubwa kweli nusraa mtu apewe jezi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tuliopitia Vita Na Chuki Makazini Tushirikishane Hapa

    Nilikuwa kwenye kampuni flani na wajinga flani mngoni na mfipa,wakapiga zenge kwa boss ili niondoke kibaruani.nikasema hawa hawanijui vizuri itakuwa.mbona tumepigwa wote termination letter,na hawakuwa wamejipanga na mtaa,wanaishi maisha ya hovyo kwelikweli.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Rais Samia hufuatiliwa sana na Watanzania

    Anaitwa baba huyu,anamendea uteuzi wa DC/RC.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Dkt. Slaa alihongwa 2015 kuisaliti CHADEMA, akapewa Ubalozi

    Kwanza rostam muhindi,Bora tuaze kubaguana tu.
Back
Top Bottom