Recent content by Mwanadareslam

  1. M

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

    Mkuu sometime unawaza hii Dunia mpaka kichwa kinauma,unajiuliza kama kuna viumbe wana uwezo wa kuona mambo ya bdae kwa kiwango hiki maana yke wanaweza kupredict the future?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

    Huyu jamaa beyond the reasonable doubt ana ufaham mkubwa sana wa mambo ya rohoni ni vizuri tukajifunza kwa watu kama hawa kuliko kukejel mwisho wa cku madhara yanakua makubwa zaidi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nauza kitanda changu nahama dar

    Imani yngu inaniambia hcho kitanda alikua analala Jini ss cjui kama muuzaji unalijua hlo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mungu hahusiki katika uumbaji, Binadamu ni viumbe na waumbaji

    Ni kawaida kwa Mwanadamu Kujawa na Kiburi hasa anapokua na kiwango flan cha maarifa,Hyu ndugu yetu Nyerere nadhani ni miongoni mwa vijana walioathirika na hii tabia.. Ukifika hatua ukajiona ww ndio unajua kila kitu na kwamba hakuna Mwanadamu yyte anaweza kukushauri basi ujue upo kwenye levell ya...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alinijibu hivi baada ya kushindwa kumtumia pesa. Naomba ushauri wenu wakuu

    Mtoa mada hv kwamfano message hyo hyo angekua amekutumia Mama ako kwenda kwa hyo mchumba ako nayo ungekuja kuomba ushauri? Mm nimesoma phychology ican read ur mind thro the line of ur txt,hapa kuna mambo mawili 1)unaonekana ahadi zko sio za uhakika kiasi kwamba mpenzi wko hakuamini 2)Ww ni...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi

    Mbona mnatuchanganya akili sasa kama Ijumaa,Jumamosi na Jumapili sio sabato tushike lipi?maana tukisema jumamosi mnasema ooh jumapili ndio sabato,haya tukikubali kama sabato ni jumapili mnasema tena ooh sabato ni ijumaa haya tukisema tena ni ijumaa mnasema cjui al khamees kwa kiarabu maana yake...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taja mzinga mkubwa kuliko wote ulishawahi kupiga ama kupigwa

    Mkuu wanasemaga "show me ur friend then i will tell ur character....ss kama hyo ndio rafiki ako mm nasema kwa kimasai Ashenalee...yani Ahsante sana! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wengi wa UDSM mna dharau na kujisikia sana lakini mna Maisha magumu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti shoga angu laiti ungesoma usingekua unateseka na michuma namna hii Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kuanzia september 5 channel zote za ndani zitakua bure kwa visimbusi vyote husika

    Mm nashindwa kuelewa ina maana mda wte huo hawa Azam wanafanya hyo biashara Serikali ilikua haioni?maana hpa wanaoumia ni sisi wateja...mtu umelipia mwezi bdo dish umenunua lakini hupati huduma eti Wapo kwenye majadiliano?kwahyo incase wakishindwana hya madishi na vinga'muzi vinakua hasara ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kuanzia september 5 channel zote za ndani zitakua bure kwa visimbusi vyote husika

    Azam tv msipochukua hatua mapema sisi wateja wenu tutawawajibisha,tumeshawachoka..... kamavp mturudhishie pesa zetu mchukue madish yenu tuhamie dstv... Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taja mzinga mkubwa kuliko wote ulishawahi kupiga ama kupigwa

    mmh...Dada unaonekana unayajua mambo mengi ww....heshima kwako mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taja mzinga mkubwa kuliko wote ulishawahi kupiga ama kupigwa

    hapa unatengeneza mazingira wale wanaoishi uswekeni wakimbie wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taja mzinga mkubwa kuliko wote ulishawahi kupiga ama kupigwa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti indirect cost..... Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya kwanza kwa jiwe; umepewa ndimi mbili na Mungu

    Hyu jiwe sio ndio yle wazungu Walisema ni Rouge President....sasa Nashangaa eti Anasema Maaskofu Waombee viwanda cjui vpo kwenye Zaburi au Mathayo? hahhaaa hyu Mtafiti wa bank atatumaliza Mwaka huu
Back
Top Bottom