Mwandishi wetu.
Wakati chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Moshi Mjini kikijinasibu kupitia Mbunge wa Chama hicho Jimbo la Moshi Mjini kuwa waliahidi ahadi 10 ambapo wanadai 9 zimekamilika na moja ya kuifanya Moshi kuwa Jiji kwamba ndiyo pekee imebakiwa, Chama hicho kimepata upinzani mkubwa kutoka...
Joto la siasa limezidi kupanda Mkoani Kilimanjaro hususani Jimbo la Moshi Mjini ambapo inasemekana baadhi ya Viongozi wa CCM Mkoani hapo wameanza harakati za kuusaka Ubunge kupitia makundi mbalimbali ya kijamii na ya Mitandaoni.
Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema, Viongozi hao...
Naibu Katibu Mkuu Chadema amemshauri Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini Priscus Tarimo asijaribu kutumia kiinua mgongo chake kwenye kampeni za uchaguzi kwani katika kipindi chake chote hakuna alichokifanya zaidi ya kupeleka lami kwa baba yake na kudandia miradi isiyo muhusu ambayo imetekelezwa na...
Ili Taifa liweze kujikwamua kimaendeleo Vyama vya Siasa vinatakiwa kuachana na Mfumo wao wa sasa wa kupitisha viongozi kwa kigezo cha kukubalika na hatimaye wagombea watokane na Sifa za kiongozi ambazo ndizo nguzo muhimu katika kusimamia maendeleo.
Utakuta Diwani anachaguliwa Hana uwezo wowote...
Naomba ufafanuzi kutoka kwa wizara je wahitimu wa mwaka huu kwenye hizi fani hawaruhusiwi kuomba maana Kuna leseni za kitaaluma zinatakiwa wakati hazitoki kwa wakati na maombi Yanalazimisha mpaka leseni iwekwe ili kumove
Chama Cha mapinduzi Kiko kwenye michakato ya Uchaguzi wao wa NDANI ila Cha kushangaza kwenye Kila uchaguzi hasa za wiki Jana za jumuiya vyombo VYA ULINZI na usalama vimekuwa mstari wa mbele kushiriki kwenye chaguzi hizo.
Kuna wanaoshiriki Hadi kuhesabu kura ila hata kusimamia hizo chaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.