Mwalimu: Priscus Tarimo (MB) usiharibu kiinua mgongo chako!

mwanachuo

Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
40
Reaction score
38
Naibu Katibu Mkuu Chadema amemshauri Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini Priscus Tarimo asijaribu kutumia kiinua mgongo chake kwenye kampeni za uchaguzi kwani katika kipindi chake chote hakuna alichokifanya zaidi ya kupeleka lami kwa baba yake na kudandia miradi isiyo muhusu ambayo imetekelezwa na serikali kuu huku miradi yake ya Stendi ya mabasi Nganga mfumuni, soko la mbuyuni, manyema na uchafu uliokithiri sambamba na uchakavu wa miundombinu ambayo hata mfuko wa Jimbo ameshindwa kuusimamia kufanya ukarabati.

Ameyasema hayo wakati wa mkutano wa Hadhara wa operation 255 uliofanyika katika viwanja vya manyema mjini Moshi.

Naye Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya kaskazini ndugu Lema amesema Moshi hakuna Mbunge Kuna Boya tu ambalo Kila neno ni ndiyo ndiyo. Hali iliyoamsha kelele na shangwe kwa Wana Moshi waliojaa kwenye mkutano huo.

Nini maoni yako
 
Chadema wamekuwa na ubunge wa moshi mjini kwa zaidi ya miaka kumi na tano ,je walifanya nini ? Acheni uyahuni aisee
 
Naibu Katibu Mkuu Chadema amemshauri Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini Priscus Tarimo asijaribu kutumia kiinua mgongo chake kwenye kampeni za uchaguzi kwani katika kipindi chake chote hakuna alichokifanya zaidi ya kupeleka lami kwa baba yake na kudandia miradi isiyo muhusu ambayo imetekelezwa na serikali kuu huku miradi yake ya Stendi ya mabasi Nganga mfumuni, soko la mbuyuni, manyema na uchafu uliokithiri sambamba na uchakavu wa miundombinu ambayo hata mfuko wa Jimbo ameshindwa kuusimamia kufanya ukarabati.

Ameyasema hayo wakati wa mkutano wa Hadhara wa operation 255 uliofanyika katika viwanja vya manyema mjini Moshi.

Naye Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya kaskazini ndugu Lema amesema Moshi hakuna Mbunge Kuna Boya tu ambalo Kila neno ni ndiyo ndiyo. Hali iliyoamsha kelele na shangwe kwa Wana Moshi waliojaa kwenye mkutano huo.

Nini maoni yako
Morogoro ni mkoa namba tano kwa uchumi Tanzania ,nyie moshi endeleeni kupiga siasa ,Morogoro itakuwa jiji,Mzee mbowe anawapoteza mazima
 
Kweli kama mheshimiwa huyo hajafanya maendeleo jimboni bora hiyo pensheni asiiweke kwenye kampeni
 
Naibu Katibu Mkuu Chadema amemshauri Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini Priscus Tarimo asijaribu kutumia kiinua mgongo chake kwenye kampeni za uchaguzi kwani katika kipindi chake chote hakuna alichokifanya zaidi ya kupeleka lami kwa baba yake na kudandia miradi isiyo muhusu ambayo imetekelezwa na serikali kuu huku miradi yake ya Stendi ya mabasi Nganga mfumuni, soko la mbuyuni, manyema na uchafu uliokithiri sambamba na uchakavu wa miundombinu ambayo hata mfuko wa Jimbo ameshindwa kuusimamia kufanya ukarabati.

Ameyasema hayo wakati wa mkutano wa Hadhara wa operation 255 uliofanyika katika viwanja vya manyema mjini Moshi.

Naye Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya kaskazini ndugu Lema amesema Moshi hakuna Mbunge Kuna Boya tu ambalo Kila neno ni ndiyo ndiyo. Hali iliyoamsha kelele na shangwe kwa Wana Moshi waliojaa kwenye mkutano huo.

Nini maoni yako
Moshi hawataki kuongozwa na wajinga
 
Watu wanagombea nafasi ili wapige mpunga sio kwamba wana mapenzi ya dhati na tanzania na watanzania wenyewe la hasha, wanapambania matumbo yao.
 
Back
Top Bottom