Recent content by Mwanachama Sahihi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jenista Mhangama aliwahi kuolewa?

    Hakuwa Engineer ila Mhasibu ameajiriwa TANROADS RUVUMA. Wengi wetu tunajua ukifanya kazi TANROADS basi wewe ni Engineer. Barabara ya Songea - Mbinga (kipande Cha Kuanzia njia panda ya kwenda Peramiho), kilijengwa na WESONS T LTD na sio KAJIMA. Karibu kwetu Matarawe.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jenista Mhangama aliwahi kuolewa?

    Wasifu niliusikia. Unakumbuka "Ukoo wote wa Ngonyani na Mhagama"? Nikufahamishe nakumbuka vizuri bàadhi ya magumu aliyopitia Mzee Mhagama miaka hiyo. Usitake tuseme mengi. Uliomba kujua tumekusaidia lakini unaonesha una lako jambo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jenista Mhangama aliwahi kuolewa?

    The Father of All, hili jina na Mhagama ni la Marehemu Mumewe. Alishatangulia mbele za haki miaka zaidi ya 20 Sasa kama alivyodokeza Pulchra Animo. Alikuwa mtu mwungwana sana unapokutana nae. Wote wapumzike kwa AMANI.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mdau amchana vibaya Julius Nyerere

    Ndo maana akiwa Mbeya Uwanja wa Sokoine alirejelea Kauli ya JF Kenned- Rais wa Marekani. Think what you will do to your Country!...habari ya kulalamikia mapungufu yake ni Upumbavu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Polepole ni "double agent" wa CCM mjihadhari nae

    Ule mpango wa Mwalimu na akina ALM acha kabisa. Ni wachache sana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mdau amchana vibaya Julius Nyerere

    Ili tuendelee tunahitaji vitu vinne WATU ARDHI SIASA SAFI UONGOZI BORA. JK Nyerere aling'atuka back 1985. Miaka 40 baadae bado tunahangaika na Ujinga, Maradhi na Umaskini
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vile vifaru pale Lugalo jeshini vinatisha

    Jeshi ni la Wananchi na wamekwisha toa tamko. Msijinasibishe nalo. Kazi yao iko Wazi KIKATIBA.
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Agnes Marwa: Samia sio tapeli tumethibitisha hilo

    All right
  9. M

    JamiiForums Tanzania Samia afundishwe kivitendo kuwa Katiba sio "kijitabu" Bali ni " Likitabu likubwa"

    Rudidheni Nchi kwa wananchi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Angalia hii nyumba iliyokosa Mzee inavyoteketea

    Mbona JK Og aliongoza akiwa na umri mdogo tu!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini ajira za maofisa katika balozi zetu Huwa haziwekwi wazi?

    Maeneo ya mbarika kuna crasher ya sumry
  12. M

    JamiiForums Tanzania Leo Waziri Mkuu Majaliwa anajibu maswali papo kwa hapo bungeni, tusikilize majibu yake

    Lipo swali bana Pascal Mayalla ungependa kulisikia, ngoja tusubiri Kama litaulizwa
Back
Top Bottom