Kila mmoja wetu anao wajibu wa kuzuia vifo vitokanavyo na uzazi (Maneno Basi, Sasa Vitendo)
Mama anapewa nafasi ya kwanza kabisa hata kwenye vitabu vitakatifu yaani Quruan na Biblia, sasa basi wewe ni nani usijali akina mama wanajawazito?
Kila mmoja kwa nafasi yake awe ni baba wa familia...
ATI ni Association of Tanzania Insurers.
ATI waliweka tangazo kwenye magazeti mbalimbali wakitaka wamiliki wa hospital binafsi wawe wanachama wao ili waweze kufanya kazi na mashirika ya bima ya afya bila hivyo watakosa fursa Hiyo.
Sasa najiuliza si makubaliano ya kufanya kazi na bima husika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.