Recent content by mwana wa Tanzania

  1. M

    JamiiForums Tanzania Waraka: Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) latoa tahadhari kuhusu ugonjwa wa Corona nchini

    Leo vyombo vya ndani na nje vimekuwa mstari wa mbele kupotosha waraka uliotolewa na Baraza la Maaskofu Tanzania ( TEC) kuhusu kujilinda na virusi vipya vinavyosababisha virusi vya corona vilivyogunduliwa Afrika ya Kusini na Uingereza. Wakati Baraza la Maaskofu likiwaomba watanzania kuchukua...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema hana matishio yoyote ya kiusalama, amekimbia kivuli chake

    Mtandaoni zinasambaa taarifa kuhusu aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kupata hifadhi ya Kisiasa Nchini Canada. Kinadharia Hifadhi ya Kisiasa hutolewa kwa mtu ambaye kutokana na shughuli zake za Kisiasa anapata matishio ya Usalama wake aghalabu kutoka kwa Vyombo Vya Ulinzi na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mtafukuza wangapi? Tazameni mlipojikwaa na sio mlipoanguka

    CHADEMA MTAFUKUZA WANGAPI? TAZAMENI MLIPO JIKWAA NA SIO MLIPO ANGUKA Kamati Kuu ya CHADEMA hivi Karibuni imetangaza kuwavua nafasi za Uongozi na Uanachama Wabunge wake Viti maalum (19) kwa tuhuma za usaliti dhidi ya chama kwamba waliamua kwenda kuapa bila kupata bila Baraka za chama. Orodha ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa BBC, makubaliano na Barrick ni ushindi kwa Tanzania, Rais Magufuli yupo mstari sahihi!

    Na David KAFULILA. Septemba21,2020. Awali sikutaka kuandika chochote kufuatia makubaliano yenye faida za pande mbili kati ya Serikali yetu chini ya Mhe.Rais. Dr John Pombe Magufuli na Kampuni ya Madini ya Barrick. Hata hivyo, baada ya kusikiliza mahojiano ya BBC kuhusu tathimini ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

    Nimekuwa nafuatilia kwa ukaribu kampeni za urais zinazoendelea nchini ambapo Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato Mkoani Geita imekuwa ni moja ya agenda KUU za mgombea urais wa CHADEMA TUNDU LISSU. Kabla ya Kuanza kujadili kwa kina kuhusu umuhimu wa kiwanja hicho kwa sasa, ni AIBU kwa mgombea wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 niliyojifunza katika zoezi la kujaza fomu na kupata uteuzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa wagombea wa nafasi za Udiwani, Ubunge na Urais

    1. Vyama vya upinzani havikuwa na mkakati kabambe wa kuwasaidia wagombea wake kujaza fomu kwa usahihi. Mfn mgombea wa Morogoro mjini DEVOTHA MINJA hakuambatisha picha. 2. Wasimamizi wa uchaguzi waliongozwa na Sheria na kanuni katika kusimamia zoezi, licha ya baadhi ya wagombea kupanga...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 niliyojifunza katika mikutano ya Tundu Lissu ya kutafuta wadhamini

    Yafuatayo ni mambo kumi ambayo nimeyaona katika ziara ya LISSU ya kutafuta Wadhamini: 1. LISSU anatumia muda mwingi kushambulia haiba za wagombea anaochuana nao kuliko kueleza sera mbadala alizonazo. 2. Wanachama wengi waliojitokeza katika mikutano yake wakienda kutazama majeraha aliyonayo na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

    Jeshi la Polisi Jijini Dodoma kupitia kwa Kamanda wa Polisi MUROTO limeeleza hakuna shahidi yeyote aliyesikia kelele wala kuona MBOWE akishambuliwa kama alivyodai. Mbowe alitokea kwa mzazi mwenzake JOYCE MUKYA ambae ni mbunge wa viti maalum Chadema. Baada ya kuteguka hakumjulisha Mwanae...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maswali fikirishi kuhusu shambulio la Mbowe

    1. Kwanini Mbowe ameshambuliwa saa chache tu baada ya Lissu kutangaza nia ya kugombea urais? kwamba Timu Lissu wanaamini Mbowe ni kikwazo cha kupata nafasi ya kupeperusha bendera ya Chadema katika uchaguzi Mkuu. 2. Wakati Mbowe anashambuliwa walinzi wake binafsi wa CHADEMA ukiacha wa Serikali...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa ajira na ukweli kuhusu Tanzania ya viwanda

    Anaandika John Sm Mgejwa Kuna kipindi nchini Kenya hasa mwaka 2009/10 kwenye mapato yaliyokuwa yanakusanywa kwa mwaka, 47.3% ya Fedha zilizokusanywa zilikuwa zinatumika kulipa mishahara ya watumishi, kiwango hiki lilikuwa juu ya kile Cha kimataifa ambacho ni 35% ya makusanyo yote. Hii ina...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamtia hatiani Zitto Kabwe katika kesi yake ya Uchochezi. Atakiwa kutotoa matamshi ya Uchochezi kwa mwaka 1. Asema kukata Rufaa

    Leo majira ya saa 2;30 Asubuhi inatarajiwa kusomwa hukumu ya kesi inayomkabili kiongozi wa ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma mjini ZITTO KABWE ambapo kwa wale ambao tumekuwa tukifuatilia kesi hiyo kwa karibu kuanzia kufunguliwa mashtaka usikilizwaji wa mashahidi hatuna budi kusema nafasi ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Godlisten Malisa: Namuunga mkono Rais Magufuli kufungua vyuo vya elimu

    Na GODLISTEN MALISA Kwa maoni yangu nadhani hatua ya kufungua vyuo na taasisi nyingine ni muhimu japo ni muhimu zaidi kuendelea kuchukua tahadhari kama alivyosema Rais JPM. Ukweli ni kwamba janga la Covid19 sio jambo la muda mfupi kama ilivyotarajiwa kwamba litakuja na kupita. WHO wamesema it...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa umetukosea heshima wanandugu kwa kushindwa kutambua mchango wa fedha za familia

    Nimemsikiliza kwa makini ndugu yangu PETER MSIGWA kwenye hotuba yake na vyombo vya habari ambapo yeye na viongozi wengine wa Chadema waliokuwa gerezani wameachiwa huru baada ya kulipa faini. Kilichonishangaza ni MSIGWA kushindwa kutambua mchango wetu wa kifedha uliokuwa unaratibiwa na kaka...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wengi hawajaielewa kauli ya Dkt. Ally Bashiru kuhusu CCM kutumia faida ya kuwa na dola kuendelea kubaki madarakani

    lete ushahidi wa nadharia za kitaaluma sio umbea
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wengi hawajaielewa kauli ya Dkt. Ally Bashiru kuhusu CCM kutumia faida ya kuwa na dola kuendelea kubaki madarakani

    Nimeona tafsiri potofu/uelewa finyu kuhusu Kauli hiyo ya BASHIRU, Msingi wa kauli hiyo ni dhana ya kitaaluma ya INCUMBENCY ADVANTAGES inayotumika katika Political Science. Chanzo cha tafsiri hio POTOFU inaweza kuwa uelewa hafifu wa dhana ya INCUMBENT ADVATANGE au inafanyika maksudi ili kupata...
Back
Top Bottom