Ni vijana wawili ambao wakwanza anafani ya udereva na analeseni class "C", ila hakubahatika kusoma mbaka kidato cha nne. Wa pili: ana elimu ya kidato cha nne na ana certificate pamoja na diploma ya Accountancy.
wadau huyo bint lazima afanye atakalo huyo jamaa c mnaona alivyo batasam huyo mdada,inaonesha yuko radhi kufanya lolote atakaloambiwa na huyo jamaa ila atajifanya kama anagoma ili mradi tu abembelezwe.
huyo mdogo wako hajapenda ila anajaribu tu kupitapita coz mapenz huwa hayachagui kabila wala rangi na kama huyo jamaa ningekuwa ndo mimi mdogo wako asingenipata tena. So mwambie ajirekebishe huwa hatufanyi hivyo ktk mapenzi sawa mama?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.