hivi jamani, tuseme ukweli, tz ikifungua milango yote, hata kama tukaamua kuliweka suala la ardhi free kwa east africa wote, nani atapata hasara? nchi gani itakuwa kwa kasi kuliko zote katika easta africa hiii? wapi patachanua kuliko kote katika ukanda huu, hebu nielimisheni jamani mimi sikusoma...