Recent content by mwana wa mama

  1. mwana wa mama

    JamiiForums Tanzania Msaaada ilipo hospitali ya masista mbweni

    Kutokea mwenge unaifuata bagamoyoroad mpaka Boko njiapanda y'a mbweni then unaingia kushoto barabara ya mbweni mpaka mwisho WA Lami ilipo hospitali.Ni km 6 from bagamoyoroad. Inaitwa St. Joseph hosptal
  2. mwana wa mama

    JamiiForums Tanzania Makonda achuniwa na mtoto wa Kabwe msibani

    Mbona mnatuhumu Makonda kama muuaji jamani acheni hizo hisia kuwa 100% kifo ni sababu ya kutumbuliwa.Makonda yuko sahihi jamani ametimiza majukumu ya kazi yake na anajua wajibu wake ndio maana hata dhamiri yake haimshtaki kwenda msibani.Kwani mtoto wako akikosea ukampa adhabu unamchukia na...
  3. mwana wa mama

    JamiiForums Tanzania Ghorofa latitia mtaa wa Mchikichini, Kariakoo jijini Dar

    Bado linaenda taratibu,sijapata updated news tena.Ni mtaa wa Mchikichini na Livingstone
  4. mwana wa mama

    JamiiForums Tanzania Ghorofa latitia mtaa wa Mchikichini, Kariakoo jijini Dar

    Niko nyumbani,nimeona kwenye taarifa
  5. mwana wa mama

    JamiiForums Tanzania Ghorofa latitia mtaa wa Mchikichini, Kariakoo jijini Dar

    Wakuu habari Zenu! ITV wametangaza mchana huu kuna ghorofa linalotitia taratibu Kariakoo kutokana na ujenzi mbovu jirani na ghorofa hilo na kusababisha nyufa kwa jengo hilo.. Wananchi na wapangaji wa jengo linalotitia wameomba wahusika kuchukua hatua stahiki kwani wao wamejitahidi kufatilia...
  6. mwana wa mama

    JamiiForums Tanzania Haki ya mimba na uhai wa kiumbe

    Usichoke kuongeanae utetee uhai wa mtoto,mwambie kuua ni dhambi!Hiyo mimba ni binadamu aliyeumbwa na Mungu kwa sura yake na pumzi yake asisubutu mwambie nitakushitaki!
  7. mwana wa mama

    JamiiForums Tanzania Kwa mnaojua sheria, msaada tafadhali

    Hilo liko wazi si haki,kama siku zikizidi nilazima na pesa iongezwe
  8. mwana wa mama

    JamiiForums Tanzania Ni fridge gani bora kwa matumizi ya nyumbani?

    Nzuri pia mi ninayo mwaka wa nne sasa haijanisumbua
  9. mwana wa mama

    JamiiForums Tanzania Watanzania: Wiki hii ni kuiweka sana kwenye maombi kuelekea uchaguzi

    Umesema vema mkuu, ahsante kutukumbusha
  10. mwana wa mama

    JamiiForums Tanzania Heri ya Kuzaliwa Rais Jakaya M Kikwete

    Hongera Baba Mwenyezi Mungu azidi kukubariki akujali maisha marefu
  11. mwana wa mama

    JamiiForums Tanzania King'amuzi gani kiko vizuri kwa Bei na uimara?

    Kwa nn mkuu?
  12. mwana wa mama

    JamiiForums Tanzania King'amuzi gani kiko vizuri kwa Bei na uimara?

    Samahani hii ya Azam local channel ni bure au lazima ulipie kila mwezi?
  13. mwana wa mama

    JamiiForums Tanzania King'amuzi gani kiko vizuri kwa Bei na uimara?

    Wakuu habari zenu. Jamani naombeni ushauri king'amuzi kizuri kwa sasa;gharama yake kwa sasa na malipo ya kila mwezi.Napenda inayoonesha local chanel bila kulipia
  14. mwana wa mama

    JamiiForums Tanzania Ewe dada na mwanamke humu JF, Je! Una sifa kuu hizi zifuatazo uwe mwenza wangu wa kimaisha?

    Ndugu yangu kwa kwa dhati kabisa nikushauri kwamba kama Mwenyezi Mungu amekuumbia mwenzi wako wa maisha usali na kumwomba akuoneshe yeye mwenyewe kwa njia yake atakayoipenda.Hii mitandao ni mizuri kwa mambo mengi lakini sikushari utumie mtandao kumtafuta binadamu mwenzio aliyeumbwa kwa ajili...
  15. mwana wa mama

    JamiiForums Tanzania Marekani yaanza kuichoka Israel

    Pole ndugu yangu ukweli ni kwamba Mwenyezi Mungu hapatwi na wakati so maagizo na ahadi zake hazipitwi na wakati hata siku moja!
Back
Top Bottom