Ghorofa latitia mtaa wa Mchikichini, Kariakoo jijini Dar

Ghorofa latitia mtaa wa Mchikichini, Kariakoo jijini Dar

WANANCHI waishio maeneo ya Mtaa wa Mchikichini na Livingstone, Kariakoo jijini Dar es Salaam, wamekumbwa na taharuki baada ya ghorofa linalojengwa eneo hilo kutitia leo.

Chanzo: ITV
 
Picha ingewekwa ya eneo husika ingekuwa vizuri kuliko nadharia.
 
Kutitia sio kubonyea mkuu.Labda kata sikulaumu.Kutitia ni kuingia chini ardhini bila kubomoka!Yaani nzima nzima hiyooo inapotea ardhini.Nimeangalia ushahidi wa hili katika nyuzi zote sikuona.Mleta uzi alete kitu chenye akili.Mpaka sasa hakuna kinachoeleweka.
Mkuu kutititia ni kubonyea!
 
Back
Top Bottom