Recent content by Mwana-mpelwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hii kitu ili uifaidi unatakiwa kukaa kama siku mbili ama tatu hivi, ukirudi kuchungulia unakuta comment za wana kama mia hivi kwa wale wenzangu wapenzi wasomaji comments tu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kula tunda kimasihara kunavyoigarimu ndoa yangu

    Bf Tulinagwe,
  3. M

    JamiiForums Tanzania Heartbroken. Again!

  4. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada na ushauri mabaharia nataka kujitoa chamani ila nashindwa

    MLEVi Mmoja, Mkuu nimeona nirudishe kadi, maana nahisi sasa binafsi naelekea pabaya
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada na ushauri mabaharia nataka kujitoa chamani ila nashindwa

    Kama tittle inavyojieleza naombeni mbinu za kujitoa kwenye chama la wana CHAPUTA, completely, nimejaribu mara kibao kutaka kurudisha kadi ila nashindwa kuna kipindi hapo kati nimekaa mpaka about six months, ila nimejikuta nashawishika kupractice tena. Please niko serious naomba mawazo ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mkuu, najua hutoamini kilichoandikwa Lakin ndo kilichotokea ila huwa tunaenda kwa tahadhari sana, huwezi kuweka details zote, kwani uwenda mhusika ( mliwa) naye yuko humu, ni muhimu data nyingine ziwe zimefichwa ila kwakua umefukunyua ngoja nikutoe wasiwasi, event ilifanyika may 2014.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Bwana bwana!! Umenikumbusha mwaka 2013 Niko advance mwishoni mwishoni hivi mwezi wa march ndo tunajiandaa kupiga pepa mwezi wa tano tusepe maana maharage yalikua kero balaa, Sasa bwana sisi tuliokua tunasoma kombi yenye somo la Kiswahili ndani yake tulikuwa tukifundishwa na madam fulani hivi (...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Yaan zaidi ya hatari mkuu, ila sasa wengine wanatia na chai kabisa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mgeni nimekuja nipokeeni

    Wananzengo naomben mapokez mwenzenu mgeni humu ndani, ni hilo tu Aksanteni.
Back
Top Bottom