Hiyo Ni simple analysis wametoa ukumbuke mashabiki na wa wanachama sio wajuzi wa financial report but naamini ukienda in detail financial statement itakuwa imeonyesha vitu vyote hivyo,hivi unaona ni sahihi hapo ukawaambia Wanachama Mambo ya prepaid rent or accrual expenditure
Ni hatari Sana lakini hapa inawezekana Kuna uasi wa ndani , haiwezekani Russia washindwe kugundua mapema Kama kuna hii movement ya Wagner means kitengo Cha ushushu ndani ya Russia hakipo vizur au kinajua nini kinaendelea na kwali hauwezi kuiondoa marekani
Ukinunua jaribu kupima ppm before Tena Pima zaidi ya Mara tatu hapo unaweza kuepuka hasara,hakikisha sample unachukua mwenyewe usimtume mtu akuchukulie sample utalia sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.