Recent content by Mwana Kwetu

  1. Mwana Kwetu

    JamiiForums Tanzania M-Pesa sio salama

    Umejibu sawa ila tatizo Voda imepandikiza watu wa kujibu humu ndani kutetea unprofessional conduct. Ni sawa na kusema mtu aliyepata ajali kwa uzembe asipate matibabu atajijua mwenyewe.
  2. Mwana Kwetu

    JamiiForums Tanzania M-Pesa sio salama

    MPESA tuseme ni uvivu tu wa kufikiri nakujiongeza ilitakiwa wafuatilie. Mteja aliyechukua ni wa VODA halafu aliyechukuliwa hela zake ni wa voda hii ni sawa na mama kumficha na kumtetea mtoto mtukutu alitempiga kaka yake. VODACOM kuweni waungwana
  3. Mwana Kwetu

    JamiiForums Tanzania M-Pesa sio salama

    Mtu anamamlaka ya kulalamika kwa sababu haijakuwa revealed katika mkataba wowote kama ukikosea namba basi usitufuate ni juu yako. MPESA ni muhimu waka weka open kuwa kama ukituma fedha wrongly basi haiwahusu na wawasainishe wateja.
  4. Mwana Kwetu

    JamiiForums Tanzania M-Pesa sio salama

    Mungu angehukumu kwa namna hiyo duniani tungekuwa hatupo. Hiyo hakikisha ni tahadhari na ilibidi wawe na if...
  5. Mwana Kwetu

    JamiiForums Tanzania M-Pesa sio salama

    Tatizo la Mitandao yetu ya simu inatumia cheap labour na na watu ambao wamezoea kufanya kazi kimazoea na very short foresight kiasi kwamba kufikiri beyond the horizon ya meza zao ni ngumu sana
  6. Mwana Kwetu

    JamiiForums Tanzania M-Pesa sio salama

    Ninaamini kabisa pamoja na joking nyingi zinazoendelea kuhusu hili jambo bada VODAcom wanaweza kufanya follow up huyu mtu aliyechukua hela akapatikana hata kabla ya saa 12 jioni. Paypal wana utaratibu wa namna hiyo hakuna mahali watasema eti ni uzembe bali wao ukosee usikosee watahakikisha hela...
  7. Mwana Kwetu

    JamiiForums Tanzania M-Pesa sio salama

    TCRA ni muhimu wakaliangalia hili kuhakikisha hata kama mtu atakosea namba still mwenye hela hapotezi hela zake.
  8. Mwana Kwetu

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Jangwani wanavyozomewa sio sawa

    Hakuna njia rahisi ya jamii kuwasaidia maana hao wamekomaa counseling haitazaa matunda zaidi ya kutumia brutal mechanism kuwasaidia.
  9. Mwana Kwetu

    JamiiForums Tanzania Kurejeshwa Kazini kwa 'Aliyewalima' Barua KKKT na Hatma ya Baraza la Maaskofu

    KKKT siyo NGO; wewe CCM ikikuambia kinyesi chako ni chakula naamini utafakamia bila kutaka ushauri. Haiwezekani akili haifanyi kazi kiasi cha kutokuwa na chembe ya uchambuzi wa mambo yanayohusu serikali. Wakati mwingine ukweli unakuwa mweupe sana kiasi kwamba kwa wa kereketwa kama wewre njia...
  10. Mwana Kwetu

    JamiiForums Tanzania CCM ikitaka kufutika kwenye uso wa dunia, wamguse January Makamba

    January ana nini?
  11. Mwana Kwetu

    JamiiForums Tanzania Kweli watoto hawapendi maswali ya kijinga!

    Mtoto wangu six yrs Aliniambia anataka amwone Mungu nikamwambia ukimwona Mungu utakufa akasema basi nikifika alipo nitafumba macho ili nisife!!! ; watoto ni raha na very funny
  12. Mwana Kwetu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hamna kitu mwanamke anataka kwa mwanaume zaidi ya pesa

    Wanawake wote ni kitu kimoja ila wanachotofautiana ni timing tu. kuna anayeanza urafiki akijidai hajafuata hela ila amevutiwa na wewe ila baada ya mapenzi kukolea atakupa mipango ya malaki -mamilioni. wengine siku ya kwanza tu ameanza kulia njaa na hawa hawahitaji hela nyingi lakini taabu yao...
  13. Mwana Kwetu

    JamiiForums Tanzania IGP Simon Sirro afanya mabadiliko ya Makamanda wa Polisi kwa baadhi ya mikoa

    Nasema watapata taabu sana
  14. Mwana Kwetu

    JamiiForums Tanzania TV yangu imeleta rangi hii jee nifanyeje?

    Brother umeua!!!
  15. Mwana Kwetu

    JamiiForums Tanzania TV yangu imeleta rangi hii jee nifanyeje?

    Tujikite kwenye swali la msingi mwenzetu anahitaji msaada. hivi vingine mnavyochungulia chungulia kuvichunguza mwachieni; inawezekana hii TV ya mahali maalum
Back
Top Bottom