Kweli watoto hawapendi maswali ya kijinga!

hahaaa wale mazwazwa wenzangu na mimi wakiambiwa fyatueni nao wanafyatua kweli, asaiv bd kdg tu wataambiwa zikeni tutawasaidia sanda na kuchmb makabur
 
Amekuja mtoto wa mama etu mdogo nyumbani,,,sasa ni mtundu sana sana yuko pre unit ila hajui kusoma ,,
Sasa anautundu wa maudhi sana,,,nikamkaripia nikamwambia acha utundu,,tulia utundu umekujaa kichwani hamna kitu hapo hujui kusoma wala kuandika,,alichojibu sasa,,akanambia NINGEKUA NAJUA KUSOMA NA KUANDIKA SI NINGEKUA LA SABA,nikawa mdogoo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nyumba ya kupanga nnapoishi kuna jamaa choko lakini haoneshi ila tunajua!sasa nna dogo wa miaka 5 hivi.siku hiyo gari ya majitaka imekuja kuvuta nikasema kimaskhara tu sijui nani aliejaza choo!
si akamnyooshea jamaa kidole huku anasema yule pale kila saa anaenda kupuu!niliingia ndani spidi kwa kuona aibu
Duuuh aisee muna ishije na jamii ya watu kama hao?
 
Mtoto wangu six yrs Aliniambia anataka amwone Mungu nikamwambia ukimwona Mungu utakufa akasema basi nikifika alipo nitafumba macho ili nisife!!! ; watoto ni raha na very funny
 
😀😀😀😀
 
Nyumba ya kupanga nnapoishi kuna jamaa choko lakini haoneshi ila tunajua!sasa nna dogo wa miaka 5 hivi.siku hiyo gari ya majitaka imekuja kuvuta nikasema kimaskhara tu sijui nani aliejaza choo!
si akamnyooshea jamaa kidole huku anasema yule pale kila saa anaenda kupuu!niliingia ndani spidi kwa kuona aibu
Hii kiboko
 
Huyo ni mwanangu kabisaa[emoji16][emoji16][emoji16]
 
swalehe anatka shule anatongoza dah 6 yrs
tapatalk_1530656220745.jpeg
 
Yote hayo tisa, kumi ni yule mtoto aliyekataa kusema uongo na kuwaambiwa watu wazima kwamba "Mfalme wao yuko uchi na hajavaa nguo yeyote"
 
mtoto wa dada yangu anajua mpira mpaka balaa ni 4yrs utasikia "Mkhityaran ame slide tackle"
mi hata sijui ni nini
 
Usipende kumchukua mtoto maelezo kuhusu siri za mama/baba yake.
Huwa hawasemi uongo kabisa.
Kweli mtoto ni Malaika.
 
Napenda sana watoto.
Mimi pia. Isingekua hizi hekaheka za maisha...kazi ya ualimu wa chekechea ningekua naifurahia sana.

Huwa napenda kusikia mawazo yao...kweli ni ya ajabu kabisa.

Zamani nilikua nawahi muamka ili nisikie kipindi cha Watu Wazima Wadogo kilikua clouds. Nilikua nafurahi sana majibu yao.
Sijui kwanini waliacha.
 
Aiseeee watoto waacheni tu, anachokisema huwa anakisema toka moyoni. Uncle wangu mtoto wa Dada alipokuwa na kama miaka mitatu mama yake alilazwa, mi nikaenda naye Hosp kumuona mama yake, nesi akawa anamtoa mama yake sindano ya drip mkononi, yeye akahisi mama yake anaumia, tulipoondoka akawa ananiambia uncle nataka kuwa doctor ili nimtibu mama yangu.
 
Back
Top Bottom