Recent content by Mwana kinyonga

  1. Mwana kinyonga

    Magufuli na Makonda watawaweza 'watoto wa mjini'?

    Kweli mbowe ni mtoto wa mjin, katoka jela straight Ikulu.
  2. Mwana kinyonga

    Yajue masharti ya kufuga njiwa: Hawapendi Umbea na Ulevi

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya ya humu yana ukweli?
  3. Mwana kinyonga

    Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

    Umejuaje kua kulikua na binadam kabla ya hao?
  4. Mwana kinyonga

    Nimepata accident mapema asubuhi ya leo

    Kama ndio hivyo, walime barua usiende kimdomo mdomo. Kwenye barua wa cc ssra. Sikumbuki muda unaotakiwa kusubiri mpaka malipo/matengenezo yawe tayari ila ni chini ya siku 60.
  5. Mwana kinyonga

    Nimepata accident mapema asubuhi ya leo

    Soma tena policy zao, bima inatakiwa ikugharamie usafiri kipindi chote wakati gari ipo garage. Maana ikiwa matengenezo inakua chini yao. Jitahid umalize paper work za polisi na za bima mapema na pelema garage za wachina. Ukiwa na Bima kubwa hutakiwi kuweweseka, labda kama unaogopa paperwork...
  6. Mwana kinyonga

    Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

    Mkuu kwan kwa make mkubwa umehama kabisa, maana naona muda mwingi upon kwa bi mdogo.
  7. Mwana kinyonga

    Mita mpya za maji ni kama king’amuzi, maji yakiisha inaji-lock

    Dar ni mkoani, inategemeana unausemea tokea wapi.
  8. Mwana kinyonga

    Mita mpya za maji ni kama king’amuzi, maji yakiisha inaji-lock

    Wanadai imefungwa zaid ya mwaka, units wananunua kwenye ofisi za maji. Sehemu nyingine wanatumia Mira za kawaida. Niliuliza wanadai ilikua no pilot study maana ufungaji haukuendelea.
  9. Mwana kinyonga

    Mita mpya za maji ni kama king’amuzi, maji yakiisha inaji-lock

    Hii system niliikuta Mbeya, Mwanjelwa na Soweto.
  10. Mwana kinyonga

    Kwa mnaotaka kuja Norway, ujipange kwa vyakula na vinywaji

    Kuna mdau anadai Kuna mdau anadai mshawapiga watu mill 14 @7 mill. Ulianzia na story za Ukraine, Poland sasa ni hii.
  11. Mwana kinyonga

    Kuna Video iliyokuwa ikionesha Polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori. Polisi wadai amekufa kwa homa ya mapafu

    Mimi nimeona akipigwa teke akiwa kalala chini. Halaf mtu mmoja amelala chini anapambana vipi na askari waliopotia mafunzo watano?
  12. Mwana kinyonga

    Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ofisi za CPA sio, unajua CPA ni nini haswa? Ila kinge hiki, acha tu [emoji3][emoji3][emoji3]
  13. Mwana kinyonga

    Naomba kujuzwa shule ya watoto wenye shida ya Autism

    Upo wap Tanzania hii. Kama upo Dar, kuna moja ipo Mbezi beach njia ya chini barabara ya mediterania hotel. Unaweza fika pale kwa taratibu za kujiunga. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom