Umeona eeh.. Nashindwa eleewa wanao sema HM alikua hajui anachofanya. Alivurugwa tu. Ndio maana shabaha yote ipo mlangoni na kwa shabaha ukiangalia vema. Sema kikichotokea ndani ya gari kama unavyosema hakukitegemea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee uko na wazo la kimbuzi sana.. Alafu hauna uhalisia na maisha uliyo yaandika.... Labda hayo ya complicated relationship unaweza ukawa kweli uko ndo maana una story za kiivyo tu.
Kuwa specific,Mungu gani unaye msema wewe,anaye wafundiasha kuua,kuchoma makanisa na kuandamana,,au Mungu wangu ambaye ananifundisha kwa vita sio yetu ila ni yake,,na hukumu sio yetu ila ni yakwake...kama ni mungu wako hata waje mia ntakojolea hadi zichanike na hawanifanyi kitu. Eti mungu wako...
Mara tu ya kukutana na mjinga kama wewe....tehetehe ila mi so mbishi sipendi upuuzi tu hhasa wakuharibu akili nzuri aliyo nayo mtu (ambayo Mungu kamuumbia mwanadamu)
Si ndio mnako waanzia watoto wenu kuwaharibu akili,,Nani kakwambia kuwa Mtoto wa kikristo ni mzembe wa kudanganywa tuuu eti unakuwa mjusi ukikojolea tokea lini wangapi wamekuwa mijusi hahahahhhaaaa lakini nampongeza sana kwa ujasili wake na kujitambua kuwa yeye sio mjinga ila alitaka kumuonyesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.