Nawewe kuwa dingi na babu baadae tuone kama utwaachia watoto wako haya unayoyasema kwamba sisi madingi hatuwaachii.
Usifikiri utabaki mtoto hivyohivyo. Halafu usikute wewe uko 30+ halafu hujioni ni dingi.
Uzuri kwa sasa ccm na samia baada ya kifo cha mzee Hafidh wameshajua huyu nyonya damu anachukiwa kiasi gani na wajiandae kwa sherehe kabambe tanganyika siku akifa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.