Jackson matthew
Senior Member
- Jun 26, 2026
- 137
- 302
- Thread starter
- #21
Hatuachan kamweMta achana tu
Hatuachan kamweMta achana tu
Mwanaume akichepuka siyo hampendi mkewe we hushangai mwanaume anazaa nje ya ndoa siku akifa wanaibuka watoto wakubwa kabisa wanaojitambua kusema ni baba yao?Pattern hazipo sawa, nazungumzia mie na mleta mda 😅
Ni kweli mkuu, unacho zungumza ni sahihi kakaMwanaume akichepuka siyo hampendi mkewe we hushangai mwanaume anazaa nje ya ndoa siku akifa wanaibuka watoto wakubwa kabisa wanaojitambua kusema ni baba yao?
Na miaka yote anakuwa anaishi na mkewe kwa upendo kabisa huku akiendelea kuzaa nae watoto,ni ajali tu hutokea.
Shtuka wew! anacheat huyo ndio maana anakupambaza kwa huba hilo...Ananipa mapenzi ya moto moto jamani nafurahia ndoa kweli hata sitamani kuwa na mchepuko
Aluyewaumba kasema tuishi nao kwa akili, hakuna mwanamke ameamrishwa kupenda mwanaume, kaambiwa watiini waume zenu fullstop.Ukweli ukimpenda mwanamke huwezi chepuka.
Bora hata usingesema... Maana unakula ban sio muda baada ya panic kulingana na comments utakazopokea ukamtukana mtuAnanipa mapenzi ya moto moto jamani nafurahia ndoa kweli hata sitamani kuwa na mchepuko
Ndoa yako ina muda ganiAnanipa mapenzi ya moto moto jamani nafurahia ndoa kweli hata sitamani kuwa na mchepuko
Kama hana utii kwako, hata akupe mapenzi yote ni sawa na bure aiseee....Ananipa mapenzi ya moto moto jamani nafurahia ndoa kweli hata sitamani kuwa na mchepuko
Tumuachie kwanza.Huyu tumwambie au tumuache kwanza?
Usije ukasababisha adondoke kwa presha🤣Ndoa yako ina muda gani
Hatakuwa mtu assembly of godAnanipa mapenzi ya moto moto jamani nafurahia ndoa kweli hata sitamani kuwa na mchepuko