Mwaka jana siku kama ya leo nilianza kupitia uzi mbali mbali nakuanza kuweka list ya series mnazo zitupia na hapa chini nimeweka list ya series nilizo anza kuzichukua na zilizo pigiwa tiki[emoji736] maana yake nmeziangalia ambazo hazina tiki hizo bado sijaziona lakini zipo njiani kuziangalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.