Recent content by Mwamitumai

  1. Mwamitumai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mliozaa nje ya ndoa,nipeni faida & changamoto zake, kabla sijafanya maamuzi

    Acha,acha acha kabisa. Utapanuka moyo
  2. Mwamitumai

    JamiiForums Tanzania Hapa nina full stress

    Pole,cheki pia HIV uishi Kwa amani. Msongo wa mawazo unaumiza sana jipe moyo
  3. Mwamitumai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikutegemea nilichokikuta ukweni

    Huyo demu ni bikra?
  4. Mwamitumai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Mwanamke tangu alipokuja kwangu kang'ang'ania kukaa hataki kuondoka

    Kula ule wewe, taabu tupate wengine?!
  5. Mwamitumai

    JamiiForums Tanzania Siku ya Familia 15 Mei yaja

    Mheshimiwa Gwajima,hongera sana kwa namna unavyojitahidi kutekeza majukumu yako. Una ukaribu mkubwa na wananchi na unatatua changamoto nyingi zinazowasilishwa kwako kupitia mitandao ya kijamii. Mungu akutie nguvu uendelee na ari hiyo ya kazi
  6. Mwamitumai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini kilisababisha urafiki na Besti/ Mshkaji wako kufa?

    1:Deni,nilimkopesha fedha ndefu ili alipe mahakamani alikokua na kesi ya madai sikuwahi kulipwa pesa yangu mpaka leo 2:Usaliti,kuna fala mmoja nilikua karibu nae sana ila ndo hivyo tena alikua na tabia ya kutongoza mademu ziangu(akiwa anajua kabisa)then baada ya mimi kuoa akaanza mazoea...
  7. Mwamitumai

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji mjadala wa kitaifa kuhusu umri sahihi wa mtu kuitwa kijana

    Ujana unategemea na jinsia,kwa wanawake unaishia miaka 30 baada ya hapo ni shangazi/mama/bibi.....kwa mwanaume ujana unaishia miaka 59 baada ya hapo ni babu
  8. Mwamitumai

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki boresheni Ibada zenu

    Huo utaratibu ni nadra kutokea kwa wakatiliki,akitambulishwa kanisani ni kiongoz wa kisiasa ama Fratery au shemasi mpya aliyeitembelea parokia
  9. Mwamitumai

    JamiiForums Tanzania Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

    Trh 1.1.2024 pombe ilinidhalilisha.Nilinunua chupa kubwa ya grants mimi na mwana tukaanza kutumia....Sikufika nusu nikalewa chakari,nilitapika sana.Nakuja kuamka saa 12 asubuhi. Sinywi tena pombe kali,ninaendelea na bia
  10. Mwamitumai

    JamiiForums Tanzania Ulijuaje kuwa umri wako umeenda?

    Nilijiona nmekua baada ya 1:kutimiza miaka 35 2:Ongezeko la shikamoo 3:First born kutimiza miaka minane 4: Ongezeko la watu wanaonitegemea kifedha,ushauri
  11. Mwamitumai

    JamiiForums Tanzania Taja madeni yako unayodaiwa

    Crdb loan-21,000,000
  12. Mwamitumai

    JamiiForums Tanzania TBS chunguzeni ubora wa remote control za ving'amuzi vya Azam TV

    Remote yangu ya startimes ina miaka 7 sasa inafanya kazi bila shida ila kwa bi mkubwa kuna Azam nilishanunua mbili na hata wanayotumia sasa hivi iko hoi
  13. Mwamitumai

    JamiiForums Tanzania Hiki ni nini? Naombeni ushauri nachanganyikiwa. Nimekopa Milioni 14 natakiwa kurudisha Milioni 39

    Nilichukua mkopo crdb million 18,400,000 mwaka jana,rejesho ni 28,000,000kwa miaka sita(riba million 8)Nafanya biashara ambayo nna uhakika wa kuingiza million 2 kwa mwezi.Sina maumivu yoyote na mambo yanakwenda vizuri Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Mwamitumai

    JamiiForums Tanzania Maisha halisi nchini Marekani

    ⁰n Io⁸7.mm nh.hèq 2 Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom