Recent content by Mwaminifu Hasa

  1. M

    Naibu katibu mkuu wa ccm mhe.mwigulu nchemba asitishwa ziara zake

    Agizo hilo limetolewa na katibu mkuu wa ccm mhe Abrahaman kinana akiofia kuwa ziara zake zina lenga kujinadi kisiasa mbio ambazo zinaelekea ikulu,mmh mwaka huu tutaona mengi sana yatatokea
  2. M

    Njooni katika taifa langu na mchukue mali?

    Hamsini miaka kenda na tatu juu yake naumia na kupata machungu kipi cha watesa hawa masikini wezangu waliokosa upeo kama wa macho yangu.taifa linalopoteza matumiini kwa demokrasia isiyo kuwa hai,ndugu zangu sina budi kurudi siasa ya ujamaa(socialism) chini ya USSR na ikiasisiwa na hayati jk...
  3. M

    Tundu Lissu: Nitawania Urais kupitia CHADEMA 2015

    Naanza kwa salamu za mwaka mpya wa jf members,lakini shauku langu kubwa ni tunapoelekea uchanguzi mkuu natumaini kazi ipo nanukuu usemi wa mtu maarufu duniani martin luther king "if u can't run,Just walk and if u can't walk just crawl ".with people's power Tanzania will move into political...
  4. M

    Tanzania yatoa shule mbili (2) bora za sekondari Africa katika 50 bora

    Hiyo shule ya Tanganyika nayoifaham mimi ipo masaki na aitumii mitaala ya Tz na mitihani awatungiwi na balaza sasa wewe sijui unazungumza nini utumbo na ndizi tu,mimi nilijua labda kuna shule ya kata kama vile kimbiji sec school
  5. M

    Kipi bora sasa kati ya video ya diamond platnumz na hii ya Ali kiba from godfather?

    Wakati video ya platinumz mimi namuita president kwa sasa,watu walianza gumzo kwamba video aiendani na ngoma yake na wale walikuwa fans of Alikiba,sasa kiko wapi kwake ambaye ndo ameharibu kabisa yaani mara mia asilimia,je mnasemaje wadau
  6. M

    Je,tukio gani ambalo lilitikisa Tanzania kwa mwaka 2014?

    Habari wa jf ebu kila mmoja ataje tukio moja tu and let's put it in historical record
  7. M

    Rais wa nchi kuiita pesa ya nchi yake pesa ya madafu, kiongozi kweli huyo?

    Nakumbuka wakati nafuatilia hotuba ya mh.rais wa anachambua viwango vya fedha,alitamka kuwa fedha ya tz ni ya madafu,je usemi huo hauendani kushuka kwa thamani ya fedha yetu,hivi rais anatamka maneno kama haya na anacheka kama mazuri vile,kwakweli sina imani na rais
  8. M

    Hivi kwanini Rais haitishi mkutano na vijana?

    Wakati anaingia madarakani alisema vijana ndo nguvu na tegemeo la taifa la Tz,tafsiri yake kwamba wazee ni kundi ambalo tegemezi,sasa cha kunishangaza badala ya kuita vijana,anaita wazee wasiojua kuongea ,na kama ndo hvyo kwanini asifanye awamu kwa awamu vijana na wazee,naamini wale aliowaita...
  9. M

    Mtu mmoja anayesadikika wa CCM atiwa mbaroni baada ya kukutwa na karatasi 45 za kupigia Kura

    Tukio hilo limetokea tarehe 14 punde baada ya mtu huyo kuingia na kuanza kupiga kura kwa kukunja karatasi mbili mbili,wakati anaendelea baadhi ya karatasi ziligoma kuingia na kuchelewa ndipo askari wakatahamaki na kugundua tatizo lakini licha ya ivyo ushindi ulikwenda kwa chadema ongera sana...
  10. M

    Kwa hali hii ya ukawa kwa chadema na ccm ebu tabirini mwaka 2015 itakueje majimboni?

    Ndugu zangu napata wasi wasi sana kuwa ccm ndio mwisho wa safari yake na hasa wakisubutu kumsimamisha huyo anayejifanya mtoto wa mkulima kumbe mwizi tu,kwaheri ccm
  11. M

    Hivi ni kipi kinachotushindwa wabongo kuwafikia kiwango cha nageria ktk industry ya filamu?

    Nakuwa najiuliza maswali mengi sana hasa kwenye sector ya filamu na hata music pia unamkuta msanii mkongwa katika tasnia hii lakini akuna maendeleo kabisa swala la kujiuliza pesa wanapeleka wapi au uwa awapati wanafanya kazi ya bure,inaumiza sana wana jf nahamu sana ya kujua tatizo liko wapi au...
  12. M

    Nampenda binamu yangu sana hasa kimapenzi?

    Wewe mamaafacebook,najitahid sana kukwepa lakini imeshindikana na nilishafanya nae kwa mara ya mwanza na akanifikisha haswa so nifanye nini?
  13. M

    Nampenda binamu yangu sana hasa kimapenzi?

    Wewe dunia ya leo tofauti unakula tu na hao wanatembea na baba zao
  14. M

    Nampenda binamu yangu sana hasa kimapenzi?

    Ni takribani miaka 10 baada ya kutoonana na mtoto wa shangazi my cousin wa kike, ghafla napewa namba yake na kuanza mawasliano na kunitumia picha zake jinsi alivyo kuwa na hata zingine akiwa naked. Ofcourse ni mzuri sana wana JF ila nashindwa kuhusiana nae kimapenzi japo ananishawishi tufanye...
  15. M

    Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Nikwel braza,mimi nawashangaa sana l think they are gone crazy
Back
Top Bottom