Sio kwamba anakutizama na uwezo akitathmini anaona kabisa huyu uwezo wa kumuanzishi biashara ya kuanzia milioni 50 huna
Inambidi tu kusema biashara ambayo mtaji wake hata milioni anaweza ianza
Kabisa maana hapo hakuna kesi na hata fungwa akipata wakili wa kumtetea
Ili afungwe kwa kujifanya usalama wa Taifa itawataka idara ikathibitishe kitendo ambacho huwa hawafanyi
hapo labda afungwe kwa kesi ya utapeli
Nina ndugu yangu tangu 2019 hajapata hizi ajira za ualimu kwa ulicho kiandika siku mbili hizi zilizopita na alicho sema waziri leo inaonyesha kabisa hauko mbali na jiko kwa iyo connection yako ni muhimu ili kumfanikishia huyu ndugu yangu ndio jicho la familia kwao.
Sio kwamba hataki Ila anaogopa 2025 huyo waziri machachari asije akamzidi ushawishi
Kama atabahatika kutoboa 2025 hapo ndipo mawaziri watapewa Uhuru wa kuonyesha machachari yao kwa kuwa atakuwa hagombei tena
Kama kichwa Cha habari kinavyo jieleza natafuta kikundi Cha watu/ mtu wanao jihusisha na uchawi wa kuwanga usiku ili niweze kujiunga na Mimi kuweza kufundishwa utalaam huo.
Lengo langu sio baya Ila nimeona ni tamaduni nzuri ya kiafrika itakayonifanya niweze ku experience maisha mengine ya...
Wakristo mmekuwa na ubinafsi Sana wa kutaka kujiangalia nyinyi wenyewe mkijaza nafasi za kazi kuanzi serikalini.
ITV na eatv wanapiga kwaya kila kuanzia saa kumi na moja asubuhi kuna muislam amewahi kulalamika?
Majina ya watangazaji wa ITV na Eatv yametawala majina ya kikristo nani muislam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.