Hili andiko limekuja wakati muafaka kabisa. Waandishi wa habari wameliona?
Ni andiko zuri na ni ukumbusho kwa wanahabari na vyombo vya habari nchini.
My only concern is whether the media we have can live to this aspiration. They are fighting several battles, some are silent. Angalia...
Nilikuwa nasoma gazeti la Daily News jana, nikakutana na habari yenye kichwa cha habari hiki: "Fuel-related Act proves a big plus." Sehemu ya habari hiyo, inasomeka hivi:
"In a related development, Eng. Musomba noted that after three years of incurring losses, the corporation has recorded...
Nashukuru. Ila mpaka sasa, hakuna aliyekuwa mstaarabu wa kutosha kuweza kujibu nilichohoji zaidi ya kushambulia. Na hili la kushambulia pia lina akisi tu watu wa aina gani.
*itv itarusha live christmas mwaka mpya na pasaka zijazo stay tuned mkuu* Haya maneno yako yanatosha kwangu. Ila ningelifurahi kama ungejibu hoja yangu.
Tukiruhusu fikra zetu kuwa huru, tutajadili suala hili kwa uhuru. Kumbuka hakuna ushindani katika hili. Shida ninayopata ni hii: sioni jibu la hoja yangu.
Nikushauri hili: katafute sera za vyombo hivi vya habari utajua kama hili swali lako lina umuhimu au la. Pili. leseni za TV hizi hazilingani. Huwezi kulinganisha ITV na TV Imaan.
Wahusika ni akina nani? Unahakika hao wengine wamelipwa? Wakilipwa wanaunganishwa na Tv nyingine au wanarusha wao moja kwa moja? Ulitazama lakini hilo baraza?
Kosa moja halihalalishi kosa lingine. Na hapa nazungumzia kituo kingine, sio hicho unachozungumzia wewe. Sina maslahi binafsi kwa vituo vyote. Ni hoja, ijibu kwa hoja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.