TPDC: KUMBE KUPATA FAIDA INAWEZEKANA?!

TPDC: KUMBE KUPATA FAIDA INAWEZEKANA?!

Mwamba2025

Member
Joined
Aug 4, 2018
Posts
24
Reaction score
1
Nilikuwa nasoma gazeti la Daily News jana, nikakutana na habari yenye kichwa cha habari hiki: "Fuel-related Act proves a big plus." Sehemu ya habari hiyo, inasomeka hivi:

"In a related development, Eng. Musomba noted that after three years of incurring losses, the corporation has recorded profits amounting to 9bn/- during the 2018/2019's fiscal year.

"We are highly positive that TPDC will start paying dividents to the government since we are running profitably, he stated. TPDC recorded a loss amounting to 367bn- during fiscal year ending 2015. The amount decreased to 116bn/- in June 2016 and 52bn/- in June 2017."

CHANZO
DAILY NEWS, 6/6/19

KWA UFUPI
1. Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), limetangaza kupata faida ya Sh bilioni 9 kwa mwaka wa fedha 2018/2019
2. Kwa kupata huko faidha, litaanza kutoa gawio kwa serikali

KWA UFAFANUZI ZAIDI
Kwa miaka mitatu nyuma, hali ilikuwa hivi:
1. Mwaka 2015 - Shirika lilipata hasara ya Sh bilioni 367,
2. Mwaka 2016, hasara ya Sh bilioni 116, na
3. Mwaka 2017, hasara ya Sh bilioni 52.
4. Mwaka 2018, limepata faida ya Sh bilioni 9!
 
Back
Top Bottom