Recent content by Mwamba 23

  1. M

    JamiiForums Tanzania Napenda kuuliza kwa unyenyekevu, Polisi analipwa sh ngapi kwa mwezi?

    Hamna hamna million tano kwa week
  2. M

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

    Washapata wenge hapo ni mvua ya bakora thu
  3. M

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

    Anapoteza mda tuu aseee
  4. M

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

    Ila dj Ally B kauwa asee
  5. M

    JamiiForums Tanzania Baba yangu hakuniachia urithi lakini ndugu zangu wengine wamepewa wote, je nikijitenga na ile familia nakosea?

    Sasa kama ulkua kijana wa hovyo afanyaje akupe kibunda ukalewe
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwenda nyumba ya Ibada mara kwa mara

    Wanafanya internship ya uchungaji na kuimba kwaya mixer kuibia sadaka
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mambo gani ungependa yabadilishwe/yabadilike kwenye dini/imani yako?

    Uchungaji ni taaluma mtu anakaa darasani ila skuizi uchungaji ni kama kipaji cha kuongea na mtaji wa kukodi eneo ukaweka spika kwishaa yaan kushika mistari kazaa kujua kuhubiri tayari daah haijakaa sawa kwa upande wangu tofauti na ndugu zetu waislam mtu ananza uostaz anakuja ushekhe sijui imam...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nilimshirikisha mama yangu mafanikio yangu nikadhani amefurahi, baada ya muda kila nikiwasiliana naye ananiambia isijekuwa naenda kwa waganga

    Ila wee jamaa ni mchawi yaan umemkula muhindi mpk umeshusha mjengo ulikua na odds ngapi masta
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwenza

    Dakika za jioooo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kijana wangu ana mafindofindo (Tonsils). Tunashindwa kuelewa kama ni ugonjwa au ni maumbile yake.

    Kaka ni wasiwasi wako usimcheleweshe mtoto kupata upasuaji hii ilimtokea mtoto wa kaka angu Alikua na umri wa miaka miwili na nusu nenda hospital ya Regency au cardinal rugambwa moja kwa moja kwa daktari wa koo hii hali ni ya kawaida hoso zote mbili wana huduma nzuri katika sector hiyo Nakumbuka...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Mda mwingine nafikiria hata YESU alipopewa jukumu la kuikomboa Dunia nahisi alimuomba MUNGU asimpe jukumu jingine la kua na mwanamke (mke)
  12. M

    JamiiForums Tanzania Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Sijui kwanini ila single maza wengi wanashawishi wanawake wengine wawe masingo maza dunia inapolea PESA NI KILAKITU ILA SIO KILAKITU
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni msanii gani wa muziki Bongo ambaye tangu uanze kumsikia hujawahi muelewa kabisa?

    D voice asee simuelewi kabisaa
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu binti wakala kahaha baada ya kuona jina la ninayemtumia pesa ni mwanamke

    Ayo mambo ya kuita 12000 KITITA hapana asee😂😂
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki

    Finally nahisi nimepata mchizi pm ipo wasii
Back
Top Bottom