Habari ya asubuhi wakuu,
Jamani naomba kuuliza; hivi watalaam wa kilimo (Farm Manager/Bwana au Bibi shamba) wanalipwa mshahara kiasi gani? Mwenye diploma au certificate, ninauliza kwa kuwa nipo kwenye kilimo na kadri siku zinavyoongezeka natamani kulima kisasa zaidi hivyo ninahitaji kuajiri...
Ni raha sana kuwaona wanasiasa wawili au zaidi wakilumbana, hofu yangu isije ikawa ni janja yao ya kutaka kutuondoa katika focus ya maendeleo ili tusifanye appraisal ya kazi zao. Lakini pia unachokisikia kutoka kwao sio kweli kwamba siku zote kinawakilisha picha halisi. Sijajua kama ni makosa ya...
Ndugu yangu chaguo la elimu ni lazima lifuate malengo yako. What do you want to achieve? ukiishajua hilo tafuta aina ya ujuzi au cheti kitakacho support muelekeo wako. Vinginevyo utafanya masters au CPA na usijue cha kufanya au ukawa mtu wa wastani katika mafanikio. Nimesema haya kutokana na...
LAT
Kwa mtazamo wangu swali la Mwakyembe lilijitosheleza na la muhimu sana kwa kuzingatia hali ya sasa ambapo kuna unfair flow of resources. Ukiliangalia kwa undani (wazungu wanaita reading between the lines) utaona umuhimu wake, na ninafikiri kama Shyrose angeweza kujibu vizuri lile swali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.