Recent content by mwalukiseme

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe na viongozi 6 wa CHADEMA wafikishwa Mahakamani Kisutu, wasomewa mashitaka 8, wanyimwa dhamana hadi Machi 29

    Kadiri utakavyo waghasi wapinzani wako ndivyo utakavyo wajenga, na ndivyo utakavyo jibomoa mwenyewe, ukibomoa vyama vya upinzani ukumbuke unajenga imani ya upinzani ndani ya mioyo wa walr unaowakandamiza ambao ni wengi kuliko viongozi wachache wa upinzani, mh Raisi upinzani ni imani ni zaidi ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa, maji ya shingo

    Acha kujichekelesha kwa mabwana zako
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kahama warusha mawe kukwepa kuambiwa ukweli

    Wewe unaisakama cdm kwenye kata moja tu, vipi kuhusu ccm iliyoshindwa kwenye nchi nzima kwa miaka 54
  4. M

    JamiiForums Tanzania Basi lakamatwa Tanga na karatasi za kura

    Ccm endeleeni kutengeneza matukio
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Matson Chizii ameanza kuwapotosha CHADEMA, mbinu za kuiba kura zimegoma

    igp Inawakera cdm wanavyowabana mwaka huu, hata fununu wanaifanyia kazi hakuna pa kutokea.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ubabaishaji Kituo cha Ufundi cha Tecno

    Mapimbi kama hawa wengi sana tz,yamezoea kudhulumiwa. yanaona poa tu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wolper aiaibisha UKAWA kwa mafuriko feki

    Nimeamini wafuasi wa ccm ni wagonjwa wa akili wanao waona wenzao ni wagonjwa wa akili.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Huyu si Lowassa ambaye UKAWA tulimtaka

    Usiwashawishi ukawa ujinga.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mh. John Magufuli aiteka Same, UKAWA waweweseka

    Kwa uongo mliotengeneza mkutano wa moshi, siwaamini ccm kwa chochote mtakacho post wala kutamka, nahisi inafanya kazi kweny magazeti ya uhuru na mzalendo.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mimi tarehe 25 ni CCM

    Dah kile kitengo cha it lumumba wanajitahidi,keep it up.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mambo sita yanayotushangaza WanaChadema wazalendo

    Huwezi kuwa chadema wakati upo ofisi za lumumba,acha ulaghai.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Vituo hewa 20,000 vingempa Magufuli kura 9,000,000

    NEC is full responsible for this ndiyo iliyotangaza vituo hivi,fuatilia vizuri taarifa za Nec
  13. M

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Hoja ya kuwa na Mke kuamua mshindi kati ya Lwakatare Vs Kagasheki

    Thank you,pamoja sana
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa, anzisha chama kipya cha siasa (Advice to Dr. Slaa in public)

    Umaarufu na muonekano wa chadema kwa sasa umeletwa na ubunifu na uanaharakati wa mbowe,tangu mwaka 2005 hadi sasa huyu mtu amefanya mageuzi makubwa sana ndani ya hiki chama,jaribu kufuatilia kwa umakini historia ya hiki chama.
Back
Top Bottom