Kata moja iliyo na diwani wa CHADEMA kwa miaka mitano sasa na haina maji wala barabara walianza kurusha mawe baada ya wana CCM kuhoji uhalali wa CHADEMA kuendelea kuwepo wakati hakuna walichotimiza hata kimoja tangu wachaguliwe.
Mgombea huyo wa CCM baada ya kuanza kutaja fedha iliyoliwa na hao viongozi ndipo kundi la vijana walivamia na kuanza kurusha mawe hovyo na kuleta hofu kubwa.
Mgombea huyo wa CCM baada ya kuanza kutaja fedha iliyoliwa na hao viongozi ndipo kundi la vijana walivamia na kuanza kurusha mawe hovyo na kuleta hofu kubwa.