Recent content by Mwalimuwavichaa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuhitaji msaada wa ku apply Ajira Portol

    Upo sahihi Mr. Mpwayungu village.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuhitaji msaada wa ku apply Ajira Portol

    Unaweza ukatumia Adobe Acrobat online PDF compressor ili ui squeeze hiyo cover letter mpaka kwenye kiwango cha mb kinachohitajika. Muhimu kufata masharti yote yanayohitajika na ajira portal ili system ikubali application yako
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuhitaji msaada wa ku apply Ajira Portol

    Habari wana JF, Kwa yeyote anaehitaji msaada wa jinsi ya ku apply ajira za utumishi kupitia ajira portal basi ani DM. Kama una changamoto yoyote unayoipata wakati wa ku apply basi anifate inbox nami nitamuelekeza kwa kadiri ya uelewa wangu. Karibuni.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Ila nilikuwa na wazo. Mkuu Akili sina anaonaje akamkumbuka na Jane pia wa Buguruni. Jane alimpa huba kijana wa UD pale alipoachia Happy
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya CAG yatangaza Nafasi za Kazi 104 kwa Kada mbalimbali

    Tusubiri jumatatu. System huenda ikatulia. Kozi zimeandikwa kiswahili huenda system ikawa inapata shida ku match
  6. M

    JamiiForums Tanzania Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Kwa maisha aliyopitia kususa susa hawezi. Ameshuhudia mangapi kwa mfano!. Kwa stori yake hapa hakuna wa kumkwaza haha
  7. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Operationa Officer TPA

    Kutoka 50 inakuja 38! Hakuna 40. Na hizo ziro zote vipi yani. Uite watu 6000 u short list 50 tu! Wengine wametokea songea, Sumbawanga, Bukoba kujaribu bahati zao. Serikali iangalie namna nzuri ya kuwafanyia usaili hawa job seekers kwa kuwapunguzia gharama kidogo, la sivyo vijana wata under go...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Operationa Officer TPA

    Mambo tafarani
  9. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya walioitwa kwenye usaili TANROADS Tabora yametoka

    Weka link basi mahali pa kuyapata
  10. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojili written interview TPA

    Nenda mwanga bar
  11. M

    JamiiForums Tanzania Interview TPA (Bandari)

    Duh mkuu umetisha sana. Wamepita humo humo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza hisia za kimapenzi kwa mke wangu

    Toa solution nini kifanyike? Mtoa mada ameomba msaada huo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza hisia za kimapenzi kwa mke wangu

    Pole sana mkuu, Hilo unalopitia, watu wengi sana kwenye ndoa wanapitia. Wewe hauna upungufu wa nguvu za kiume wowote, ispokuwa hofu na wasi wasi ndio vinavyokusumbua. Na ukithubutu sasa kutaka ushauri kwa hawa watu wa dawa lishe au waganga, utapigwa hela mpaka uhisi kufilisika. Na ubaya wa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

    Upo sahihi kabisa. Na hata atakaemkubali kwa sababu hizo anazozitoa basi atakuwa hajitambu. Hiyo inaleta picha kuwa amakuweka kwenye kundi la wanawake malimbukeni. Wanaoshtuliwa na magari na kazi nzuri. Farasi kabisa!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nilimfata Manara na sasa namfuata Harmonize

    Sijakataa kuwa kuna kupambana sana ili utoke kimziki. Ni kazi saaanaa. Ninao marafiki wenye sauti za maajabu wakiimba ila mpaka leo ninaishia kusikiliza nyimbo zao gheto na kwenye magari yao. Muda wao wa kutoka bado, huenda siku za usoni watatoboa. Lakini pia sio guarantee kuwa anayekusaidia...
Back
Top Bottom