Mwalimuwavichaa
Member
- Nov 9, 2021
- 17
- 33
Habari wana JF,
Kwa yeyote anaehitaji msaada wa jinsi ya ku apply ajira za utumishi kupitia ajira portal basi ani DM.
Kama una changamoto yoyote unayoipata wakati wa ku apply basi anifate inbox nami nitamuelekeza kwa kadiri ya uelewa wangu.
Karibuni.