Majina ya walioitwa kwenye usaili TANROADS Tabora yametoka

Mwenye Hilo gazeti angepiga picha akasaidie wengi wasiokuwa na taarifa maama watu wamezoea tanroads ni simu
 
Gazeti hilo hapo,Majina Ni mengi na gazeti ni kubwa sana,Kama utashindwa kuona nitumie jina lako PM,nitakuangalizia View attachment 2236485
IMG_20220524_092510_010.jpg
View attachment 2236486

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ukiona hawapigi simu wala kuwatumia email ujue figisu zishaanza na washaanda watu wao tayari.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom