Recent content by MwalimuMkuu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ombi langu kwako Rais na Mwenyekiti CCM Taifa

    Mh Rais na Mwenyekiti CCM Taifa. Awali ya yote nakupa pole na pongezi nyingi kwa kazi unazozifanya katika ujenzi wa Taifa letu. Ni ukweli ulio wazi kuwa jitihada zako zinaonekana ndani na Nje ya nchi. Tunakupenda sana na tunashauku kufika Tanzania uipendayo. Mh Rais na Mwenyekiti Chama...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi ahujumiwa

    Modes tafadhali kwa Maslahi ya Umma usitoe uzi huu. Kumekuwepo na Mkakati wa serikali (Wizara ya ardhi) kuhamishia Ofisi zake za kanda ya Kaskazini Mkoani Arusha tangu 2008 wakati huo Waziri wa Ardhi alikuwa ni MH John Chiligati. Nikiri pia kama mteja wa muda mrefu wa Ofisi hizi sikufahamu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Kama sehemu ya kubwa Viongozi wa Africa wasivyopenda kushauriwa kwa hofu ya kupoteza madaraka, Mh Rais (Magufuli) anaingia katika kundi la akina Kagame na Nkurunzinza wasiopenda kusikia tofauti na anayoamini yeye, hii si tabia nzuri. Msimamo hasi ya viongozi wa Kiafrika haijaleta tija katika...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simulizi: Mapenzi ya dhati

    very interesting story ila very bad ending sikutaka Reshmail apoteze maisha
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simulizi: Mapenzi ya dhati

    Hadithi nzuri sana, please bring it
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Six unusual facts about sex (english only)

    I am learning
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani, Kuhusu CDA

    Wanabodi nawasalimu kwa jina la Muumba wa mbingu na nchi. Ninaomba kwa heshimu kubwa anayefahamu salary za CDA(capital development authority) kwenye scale za CDASS 7-CDASS 9anijulishe nisijeruka mkojo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tuambizane kuhusu Nafasi za CDA

    Wana Jf, nawasalimu nyote asbh ya leo naomba tujuzane kuhusu zile nafasi za CDA walizotangaza mwanzoni mwa mwezi huu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nitaendelea kumtetea Zitto kwa gharama zangu zote. Kwa pamoja tuutokomeze ukiritimba

    Zitto Kabwe ni Mlevi wa sifa, kwangu nawashauri wale wafuasi wake wapige kimya kidogo kisha wamwaambie Boss wao (ZZK) akatubu dhambi zake zote tena kwenye media live hasa TV, aseme alivyo isaliti CDM, asema alivyotudanganya kuhusu pesa za USWIS mwishowe sisi tutapima huku mtaani kiasi cha...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe Adai kwa Kiapo Hana Majina ya Wenye Akaunti Uswisi - AG

    Zitto ni mlaghai, Mlafi na mpenda Misifa yaani kote kukomaa kwenye media eti hana hata akaunti namba ya mtu huko USWISi, Madam Speaker simamisha huyo kichaa ubunge kwa miezi minane na salary asipokee
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

    Wadau Anachosahau Zitto ni kwamba hajui kuwa sifa haidumu sana kama mhusika anakosa adabu, wakati nasoma UDSM tulikuwa na watu wanaojiita TO (Tanzania one) yaani mtu aliyeongoza form six mwaka huo, vijana wale walikuwa wanalewa sifa kweli kweli mwaka 2008/2009 kuna moja alikuwa anasoma COET...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    well chadema, Zitto Kabwe ni mpuuzi sana amelewa sifa hadi anaanza kusahau alipataje umaarufu alionao sasa ameupataje? Inakuwa vp unajiita kiongozi wa Chama halafu huhudhurii kwenye vikao rasmi na kwenye shughuli zingine kama M4c. mnafiki sana huyu kijana. na soo tutaanza kumsahau kwenye...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Asha Mkwizu Hauli-Na kesi ya kumuua hawara wa mumewe

    Huyu Dr Haule ana matatizo makubwa na ni mtu asiyekuwa na Utu kwa sababu kwenye kesi ya Agnes Liundi yeye ndiye aliyesema Alielezea juu ya kipindi kigumu cha maisha ya ndoa ya mtuhumiwa alichopitia, jinsi maisha yake ya ndoa yalivyokumbwa na misukosuko ya kutoelewana na mumewe. Nafasi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hofu Imewajaa Waandamizi wa Serikali Arusha.

    Mkuu wa mkoa and his crew lazima waasome namba hapa mjini Arusha
  15. M

    JamiiForums Tanzania Lipumba atunukiwa Nishani ya kuhamasisha Amani

    labda maana ya amani mimi siielewi
Back
Top Bottom