MwalimuMkuu
Member
- Oct 10, 2012
- 59
- 12
Modes tafadhali kwa Maslahi ya Umma usitoe uzi huu.
Kumekuwepo na Mkakati wa serikali (Wizara ya ardhi) kuhamishia Ofisi zake za kanda ya Kaskazini Mkoani Arusha tangu 2008 wakati huo Waziri wa Ardhi alikuwa ni MH John Chiligati. Nikiri pia kama mteja wa muda mrefu wa Ofisi hizi sikufahamu lengo la kuhamishia Ofisi hizo Mkoani Arusha.
Lakini katika Mpango huo wa awali na hata baadaye Mkakati wa kuhujumu mpango huo wa Wizara/Serikali ulipangwa na kuongozwa na Aliyekuwa Msajili wa hati katika kanda hiyo akijulikana kwa jina Moja la NKYA alienda hadi ikulu kutekeleza mpango huo akisaidiana Mama Mmoja liyekuwa Kamishana wa kanda (Dorothy Wanzala) wawili hao walifanikiwa kwa 100%
Baadaye miaka 2014 Mh William Lukuvi alifufua mpango huo wa kuhamishamia ofisi za Kanda Mkoani Arusha kutoka Mkoani Kilimanjaro na kwa Taarifa isiyo rasmi ni kwamba ameagiza hadi tarehe 30/06/2017 ofisi hizo ziwe zimehamia mkoani Arusha.
Zengwe likasukwa kuanzia Januari Mwaka (01/2017) la kuhakikisha kuwa mbinu alizotumia NKYA na DOROTH zinatumika pia kumuhujumu LUKUVI na mpango wake wa kuhamishia Ofisi za Kanda Mkoani Arusha.
Mkakati wa Sasa unaongozwa na Mtu anaitwa Thomas Lekule akitumia ukaribu wake na Mke wa Katibu Mkuu Kiongozi (Balozi JOHN KIJAZI) akishirikiana na Kijana kutoka Ofisi Msajili anayeitwa Nichlousa Mbwambo. Kinachofanyika sasa ni vikao kufanyika baa ya MEKU’s.
LENGO KUU
Kumtumia mke wa Balozi Kijazi amshauri muwe ili amshauri Katibu Mkuu wa Wizara ya ardhi aachane na Mpango huo.
Sababu za watumishi wa Ofisi ya kanda kaskazini kuhujumu mipango ya serikali haijajulikana.