Simulizi: Mapenzi ya dhati

Simulizi: Mapenzi ya dhati

Dddddaaah.aendelee na bite basi.ndo pakufuta machoz.duh!inaskitisha kwel
 
ila ni kwa nini adam alisahau kufungua kioo cha gari mapema???
ni kwann wasinge ongozana wote jamani???
 
ila ni kwa nini adam alisahau kufungua kioo cha gari mapema???
ni kwann wasinge ongozana wote jamani???

Si kwamba alisahau kufungua kioo. Isipokuwa walikuwa wamepanga kufanya SUPRISE kwa ndugu wa Adam.
 
mizambwa Reshmail kaenda na bikira yake?..too bad


Alijitahidi kuitunza lakini ndio imebidi yatokee.

Ni wasichana wachache sana katika ulimwengu wetu wa sasa wenye uvumilivu kiasi hiki wa kuitunza.
 
Last edited by a moderator:
Kweli inauzunisha jamani,
Christian hajakaa na baba yake,
 
Asante kwa hadithi nzuri pia tunasubiri nyingine
 
Kama una nyingine zilipita ni pm pls ntazisoma
 
Back
Top Bottom