Baada ya kumaliza sherehe ya ndoa yao, mama wa bibi harusi alimpa binti yake notebook yenye namba mpya ya Akaunti ya benki ikiwa na kiasi cha shilingi laki tatu.
Mama alimwambia hivi, "binti yangu, chukua hii notebook, itunze kama kitu cha kuandikia rekodi katika maisha yako ya ndoa, chochote...