Msaidieni huyu kijana

Msaidieni huyu kijana

Najua jamaa ni wewe, Pole sana, Vumilia!
 
Umesema vyema. Kuna mmoja kila siku anatuma meseji kuwa ananisubiri ila kwa jinsi nimuonavyo atasubiri sana. Mwanamke anayepanga kreti ya bia na club kila siku huku mirejesho yote ipo watsup huyo ni bomu. Kwa upande wa jamaa amuulize kwa umakini nini chanzo cha yote na akijua hatua nyingine zifuate.
Kuna wanawake wako desperate kuolewa ila hawako tayari kuyaishi maisha ya ndoa.
Sasa uyo dada alitaka kuolewa tukashaolewa haja ya moyo wake imetimia sasa anajionea tabu kuwa mke wa mtu..
Wanawake tuolewe tukipendana na mwanaume sio kufata trend/kisa umri unaenda
 
Hakuna anachokosa kabisa bajet kila kitu anapanga yeye na kupewa pesa na hiz hela za poket jamaaa kila wiki hakosi kumpa si chini ya laki kwa ajili dharura tu na gar anayo ya kutembelea lakini ndio hvyo

Na siku anaweza akaongea hata nikiachana na wew anasema hatokaa kuolewa Tena jamaaa anaumia Sana sababu anampenda sana
Ampe likizo akajitafakari labda amemiss kuwa single mother tena.
 
Hakuna anachokosa kabisa bajet kila kitu anapanga yeye na kupewa pesa na hiz hela za poket jamaaa kila wiki hakosi kumpa si chini ya laki kwa ajili dharura tu na gar anayo ya kutembelea lakini ndio hvyo

Na siku anaweza akaongea hata nikiachana na wew anasema hatokaa kuolewa Tena jamaaa anaumia Sana sababu anampenda sana
Mbona unayajua sana maisha ya mtu wako huyo? Isijekuwa wewe ndo unamfanyia hivyo m-sure wetu!

Mambo ya ndoa magumu sana..jibu zuri mwambie ampe muda wife, time is the best healer of almost everything.
 
Mbona unayajua sana maisha ya mtu wako huyo? Isijekuwa wewe ndo unamfanyia hivyo m-sure wetu!

Mambo ya ndoa magumu sana..jibu zuri mwambie ampe muda wife, time is the best healer of almost everything.
Ni jamaa yangu Ni Zaid ya ndugu tunashare mambo meng Sana
 
Ukiona mtu kaachwa ujue kuna sababu. Inawezekana hayo ndio yaliyomshinda mwanaume aliyemzalisha.
 
hapo ndio kosa lilipo fanyika siwapondi haina hiyo ya akina mama bali ukiwa unataka kuoa ewe kijana mwenzangu anza na familia yako ukishakuta mwanamke ana familia tayari wewe unaendeleza familia ya mtu na mtu kama huyo ni rahisi sana kuachana maana yeye ameshazoea purukushani na pia kwenye kuhudumia mkuu labda ana jitahidi ila sio kama expectations za huyo mwana mama ninachoona hapo wameshafunga ndoa ila sasa mwanamke nafanya vituko ili mwanaume aanze kusema mambo ya kuachana
 
REHEMA HEALTH & FAMILY CONSULTANTS

Huduma za Kifamilia

  • Huduma maalumu ya upatanishwi katika migogoro mbalimbali ya kifamilia.
  • Huduma maalumu ya ushauri na upatanishi katika migogoro mbalimbali ya familia, majirani na jamii kwa ujumla.
  • Ushauri wa mahusiano na matatizo/migogoro ya ndoa.
  • Ukusanyaji wa madeni ya kifamilia na wapatanishi wa migogoro/matatizo yatokanayo na madeni ya ndugu/familia.
  • Ushauri wa masuala na mali za urithi, upatanishi na muongozo wa migogoro itokanayo na mirathi.
  • Ushauri wa kifedha na miradi kwa wafanyakazi walio staafu au wanaotarajiwa kustaafu.
  • Ushauri miradi na biashara za kifamilia.
Dar es Salaam

Call:-+255 715499528

Njoo kwa Huduma Hii-
  • Ushauri wa mahusiano na matatizo/migogoro ya ndoa.
 
Hii huduma ni bure?kama bure nije kuhudumiwa
REHEMA HEALTH & FAMILY CONSULTANTS

Huduma za Kifamilia

  • Huduma maalumu ya upatanishwi katika migogoro mbalimbali ya kifamilia.
  • Huduma maalumu ya ushauri na upatanishi katika migogoro mbalimbali ya familia, majirani na jamii kwa ujumla.
  • Ushauri wa mahusiano na matatizo/migogoro ya ndoa.
  • Ukusanyaji wa madeni ya kifamilia na wapatanishi wa migogoro/matatizo yatokanayo na madeni ya ndugu/familia.
  • Ushauri wa masuala na mali za urithi, upatanishi na muongozo wa migogoro itokanayo na mirathi.
  • Ushauri wa kifedha na miradi kwa wafanyakazi walio staafu au wanaotarajiwa kustaafu.
  • Ushauri miradi na biashara za kifamilia.
Tupo:- Azura Health and Fitness

Old Bagamoyo Road Opp. JKT Makao Makuu

Dar es Salaam

Call:-+255 672 128024

Njoo kwa Huduma Hii-
  • Ushauri wa mahusiano na matatizo/migogoro ya ndoa.
 
Back
Top Bottom