Recent content by mwalimu lyapongoka

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mwendo huu CCM inapambana na wapinzani; haitoweza kupambana na upinzani

    Kila mtu ni shuhuda wa namna ambavyo jicho la democrasia limepigiliwa boriti kiasi cha kutoona kabisa nchini.WAteuliwa wa Mkuu wamekuwa ndio MaNyampala kwa kuwakamata na kuwatesa viongozi wa Upinzani.katika kutekeleza majukumu nje ya nafasi zao hawangalii nyuma tena wao nikutekeleza maagizo tu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mtulia ndio chaguo sahihi kwa wana Kinondoni

    Huwajui watanzania wewe ingekuwa wanachagua viongozi kutokana na ilani za vyama vyao Lowasa angepata 100% ya kura zote coz hakukuwa na ilani bora na yenye majibu ya matatizo ya watz kama ilani ya chadema
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Dr. Adelardus Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG). Masaju ateuliwa kuwa Jaji Mahakama Kuu

    Unaetumia weledi kufanya kazi katika serikali ni kazi sana hamjiulizi kwa nini hatusogei while kila ofisi ina professor au dr.??hakuna mtaaluma hata mmoja alietengenezewa mazingira ya kuinvent ideas zake instead they receive orders from high authorities ndio maana hata wakina Kabudi wanafokewa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni akili mbovu kufananisha CCM na Chadema

    Criteria ulizotumia haziwezi kukupeleka kwenye uwiano sahihi wa kulinganisha ccm na cdm due to the fact that Chama kutumia movement approach (harakati) ni developmental stage (moja ya hatua katika ukuaji wa chama cha siasa).kuhusu democracy ndani ya chama nadhani uteuzi wa mollel na mtulia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Huu ndio uzalendo

    Alilolifanya lina tija gani sasa katika maendeleo? Waziri ni master minder Wa wizara husika we need good policy and clear strategies of attainable goals in his ministry sio rubbish hizi na wewe unampongezaje MTU pale anapoigiza maisha halisi ya watz???do you think ana shida kweli ya maji...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Quartz: Watanzania wanafikiri rushwa imepungua nchini kwao, lakini hali ni tofauti sana

    MFUMO WA NCHI AMBAO UELEKEO UPO KICHWANI KWA MTU MMOJA KUPIGA HATUA ZA MAENDELEO NI NGUMU SANA JAMBO KUBWA LINALOFANYIKA SASA HIVI NI KUZUIA WALA RUSHWA WA ZAMANI NA KUONGEZA WALA RUSHWA NA MAFISADI WAPYA
  7. M

    JamiiForums Tanzania Quartz: Watanzania wanafikiri rushwa imepungua nchini kwao, lakini hali ni tofauti sana

    MFUMO WA NCHI AMBAO UELEKEO UPO KICHWANI KWA MTU MMOJA KUPIGA HATUA ZA MAENDELEO NI NGUMU SANA JAMBO KUBWA LINALOFANYIKA SASA HIVI NI KUZUIA WALA RUSHWA WA ZAMANI NA KUONGEZA WALA RUSHWA NA MAFISADI WAPYA
  8. M

    JamiiForums Tanzania TV kutozwa faini: Kituo cha habari kikirusha habari inayopingana na Serikali kinaadhibiwa? Hii sio haki kabisa!

    Kwenye lile jina ambalo LISSU huwa anamwita bwana huyu toa kivumishi Libakie moja tuu yani DICTETA
  9. M

    JamiiForums Tanzania Huyo anayeitwa Mzalendo hata kuhutubia taifa na kutoa mwelekeo mwa mwaka ujao hakuna. Hakuna maono?

    Yupo kufanya toba kwanza akimaliza anakujaa
  10. M

    JamiiForums Tanzania TRA kumchunguza Askofu Kakobe baada ya kumsikia akisema ana hela kuliko Serikali

    Amesema ana hela kuliko serikali kila mmoja anafahamu hakuna tajiri yoyote duniani mwenye pesa kuliko government tra officer unaitisha press kwa kodi zetu kwenda kuchunguza kitu ambacho hakipo na hutomshitaki sababu atakuruka tu si wendawazimu huuuu
  11. M

    JamiiForums Tanzania TRA kumchunguza Askofu Kakobe baada ya kumsikia akisema ana hela kuliko Serikali

    Daaaah umetisha mwana watawala hawatumii akili kabisa katika kupambana na wasiowapenda its better to stay calm rather than chasing a dog which steal your food
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio top five yangu ya rapa waliofanya vizuri kwenye dakika 10 za maangamizi

    Anaitwa selementary ana nyimbo nyingi sana but the hottest one is nataka kuinunua DSM ft belle nine yupo smart sana kichwani mtafute YouTube mzee Nina hakika hautojutia kumfahamu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sababu za kuipinga Serikali ya awamu ya tano

    Mara zote tumekuwa ni watu wa kubishana tu pengine bila uelekeo kamili nje ya milengo ya kisiasa na tukumbuke elimu ya uraia inazidi kuongezeka kwa wananchi kadili upinzani unavozidi kukuwa. Watanzania wamejua wajibu na stahiki zao nyingi kutoka serikalini Mara baada ya kukua kwa siasa za...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wengi wamiminika kurejesha fomu za maadili, ofisi kufunguliwa hadi Jumamosi

    Mbowe ni mfanyabiashara since at the age of zero
  15. M

    JamiiForums Tanzania RC Makonda ni moja kati ya hazina chache tulizotunukiwa Tanzania

    DAB nae ni hadhina for what??? I think we keep the rotten eggs in the cupboard because trush is very close to our open window....MTU anaejitahidi kutuaminisha kuwa to get zero is nothing but being responsible is wealthy juu ya mgongo Wa mwenyenchi anapewa nafasi ya kutathminiwa kwa sehem ndogo...
Back
Top Bottom