Kwa mwendo huu CCM inapambana na wapinzani; haitoweza kupambana na upinzani

mwalimu lyapongoka

Senior Member
Dec 28, 2016
173
205
Kila mtu ni shuhuda wa namna ambavyo jicho la democrasia limepigiliwa boriti kiasi cha kutoona kabisa nchini.WAteuliwa wa Mkuu wamekuwa ndio MaNyampala kwa kuwakamata na kuwatesa viongozi wa Upinzani.katika kutekeleza majukumu nje ya nafasi zao hawangalii nyuma tena wao nikutekeleza maagizo tu na pengine utashi wao umelenga kuisuuza roho ya mkulu kuliko hata kugusa tija za watanzania halisi.KOSA KUBWA LINALOFANYIKA NIKUTOITAMBUA WINNING FORCE WALIYOITUMIA WAPINZANI KWA KUHUSIANISHA KWA NGUVU ZOTE UMASKINI WA MTU MMOJA MMOJA NA CCM.hii chuki haipotei hata kidogo coz government can't tune mind setup to another direction ni mpk ifanye jitahada za kunusuru maisha ya watu katikati ya dimbwi la umaskini.KWA BAHATI MBAYA HAKUNA MRADI HATA MMOJA ULIOASISIWA NA AWAMU HII UTAKAOTRANSFORM MAISHA YA WATZ NDANI YA MUDA MFUPI.. HII KAMATA KAMATA ITAISHIA KUWAFUNGA MDOMO WAPINZANI ILA UPINZANI HAUTOISHA KAMWE NA HUENDA WATU WATAPATA KICHAKA KINGINE NJE YA VYAMA VYA SIASA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom