Quartz: Watanzania wanafikiri rushwa imepungua nchini kwao, lakini hali ni tofauti sana

Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,446
2,000
Haya tena, yule mpinga takwimu kazi kwake:
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
In brief:

"A May 2017 survey (pdf) by Afrobarometer, a research network, shows that over 70% of Tanzanians believe corruption in the country had decreased “somewhat” or “a lot” in the previous year. This is in stark contrast to the results of a similar survey in 2014, when only 13% reported they believed corruption had decreased in the previous year.

But local perceptions don’t match global measurements. According to Transparency International’s 2016 corruption perception index, Tanzania ranked 117th out of 175 countries in 2013; in 2016, it came in at 116 of 176. The index measures corruption based on assessments and surveys from a variety of organizations that monitor governance in different countries, and assigns a score between 0 (“highly corrupt”) and 100 (“very clean”). From 2013 to 2016, Tanzania’s score actually dropped a point, from 33 to 32.

The difference in Tanzanians’ perceptions of corruption and Transparency International’s might have something to do with a less savory aspect of the Magufuli administration: it’s been accused of stifling opposition views and freedom of speech in general, with its restrictions and closures of media outlets. This shows up in the Afrobarometer survey, too: 71% of Tanzanians said they’d fear retaliation if they had to report corruption to the authorities.

Soma makala nzima hapa chini:
Tanzanians think corruption in their country has declined. The reality is very different
 
Keyboard Warrior

JF-Expert Member
Aug 5, 2014
987
1,000
kuna mtu atatamani wafungwe kwa uchochezi... Tz bado tunasafari ndefu, hii nchi kila kukicha hakuna tumaini lolote linaloonekana... kuna watu walisema katika awamu hii rushwa na ufisadi unaweza ukaongezeka, naona dalili ndo hizi
 
mwalimu lyapongoka

Senior Member
Dec 28, 2016
173
250

MFUMO WA NCHI AMBAO UELEKEO UPO KICHWANI KWA MTU MMOJA KUPIGA HATUA ZA MAENDELEO NI NGUMU SANA JAMBO KUBWA LINALOFANYIKA SASA HIVI NI KUZUIA WALA RUSHWA WA ZAMANI NA KUONGEZA WALA RUSHWA NA MAFISADI WAPYA
 
kagoshima

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
2,098
2,000
Inawezekana kweli imepungua. Nilishikwa na trafiki wakati naenda dodoma ati triangle imechakaa. Afande ananiuliza tukuandikie au? Nikauliza au ndo nini. ? Eti changia lunch. Nikawa nagoma kuacha chochote tukabishana kama nusu saa nikaona wananichelewesha nikawachia hiyo au yao
 
kigogo warioba

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
5,981
2,000
Inawezekana kweli imepungua. Nilishikwa na trafiki wakati naenda dodoma ati triangle imechakaa. Afande ananiuliza tukuandikie au? Nikauliza au ndo nini. ? Eti changia lunch. Nikawa nagoma kuacha chochote tukabishana kama nusu saa nikaona wananichelewesha nikawachia hiyo au yao
Mkuu hio ni ya kubrashia viatu!
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
121,084
2,000
Rushwa itapungua vipi wakati uchwara ndiye kinara wa kutoa rushwa nchini na pia kaamua kuwakingia wapokea rushwa wote nchini kama tu ni watu wa lumumba na Takukuru imekuwa ni taasisi ya kulea na kukuza rushwa nchini.
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
57,008
2,000
Rushwa imechachama sahv syo traffic+police,tra etc
Rushwa haiwezi ondoka nchi hii Hata ufanyaje

Ova
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Manga ML

JF-Expert Member
Jul 6, 2013
9,325
2,000
kuna mtu atatamani wafungwe kwa uchochezi... Tz bado tunasafari ndefu, hii nchi kila kukicha hakuna tumaini lolote linaloonekana... kuna watu walisema katika awamu hii rushwa na ufisadi unaweza ukaongezeka, naona dalili ndo hizi
Hujawahi ona nyumba ya baba mkalii ndo inayotoa watoto watukutu?

Wakikujulia wanakupiga tu tena kwa mapigo adhim wee si mkali?
 
UCD

JF-Expert Member
Aug 17, 2012
7,668
2,000
Rushwa itapungua vipi wakati uchwara ndiye kinara wa kutoa rushwa nchini na pia kaamua kuwakingia wapokea rushwa wote nchini kama tu ni watu wa lumumba na Takukuru imekuwa ni taasisi ya kulea na kukuza rushwa nchini.
Vipi leo hujaenda kubeba mabox?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom