Recent content by Mwali

 1. Mwali

  Nina milioni mbili nataka nimfungulie biashara mke wangu,je itatosha?

  Hahahaha, kuna watu wangu kadhaa nimewatuma huko, wananichumia mi nakula zangu tu
 2. Mwali

  Nina milioni mbili nataka nimfungulie biashara mke wangu,je itatosha?

  We si ulisema kazi yako kuwaongezea wanawake mtaji? Mbona unaanza kutoa theories? Kama huna sema mapema
 3. Mwali

  The reality is this...

  Umeingia kwa fujo halafu umepotea.
 4. Mwali

  Viongozi wa dini kemeeni watoto wa kike waliokwenda JKT kudhalilishwa

  Nipo. Unanitafuta?
 5. Mwali

  Viongozi wa dini kemeeni watoto wa kike waliokwenda JKT kudhalilishwa

  AshaDii please njoo usome hii. this is what I mean when I insist that the environment must be persimisive if we want women to thrive. Most women will not volunteer for National service for as long as their particular needs are not addressed!
 6. Mwali

  Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

  Mi na Konnie hatuwezi kuchangia. Mwiko
 7. Mwali

  Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

  Lazima nimshirikishe Kongosho maana ninapo cheka nacheka nae, na nikilia yeye ndie hua na kazi ya kunifuta machozi. So yana muhusu
 8. Mwali

  Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

  nan nan... Namtaka yeye tu, ila nasikitika, nahisi yeye hana interest...
 9. Mwali

  Team ya wapiga deki mpooo!

  Mwali hazeeki. She has just been replaced by mwallu :angry: (Kaizer you're in trouble...)
 10. Mwali

  Udaku Special 2nd Edition!! Limesheheni....

  #BREAKINGNEWS : Mwali atangaza rasmi kuolewa. cc: somo wake AshaDii
 11. Mwali

  CHADEMA 2015 mteremko kama kumsukuma mlevi

  Chalinze 2014. Kwikwikwi
 12. Mwali

  Kwa wanaoaply theory za wafeminist kwenye mapenzi/ndoa tu...

  I'm fine dear. I was in Dar May-June. Nipo nipo tu, ma night shifts kibao
 13. Mwali

  Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

  Hahaha, huo ulimi wako umenifanya nicheke. Ati kingosho huyu bado eligible. Unaonaje?
Top