CHADEMA 2015 mteremko kama kumsukuma mlevi

Kampeni za kuipeleka chadema madarakani 2015 ni mteremko kwa mabo yafuatayo
  1. Ni chama kinachoongozwa kutajwa na CCM majukwaani zaidi ya sera zao, na hivyo kuikifanya chama kifikie hata kwenye vijiji vya mbali
  2. Ni chama ambao kila kukicha matanko feki yanatoka kwa lengo la kukidhohofishs lakini hayafanikiwi .............this means what there is no need of press comference maana kuna watu wanatangaza chama indirect
  3. Ni chama kilichopitia msukosuko mwingi sana na BADO KIPO IMARA
  4. Ni chama ambacho kimewaaminisha watanzania kuwa kinweza kuwaajibishs viongozi kitu ambacho CCM wameshindwa

IN CHADEMA TANZANIAN, WE TRUST

KWA KUONGEZEA TU CHADEMA ni MWIBA MKALI SANA KWA WASAKATONGE NA WACHUMIA TUMBO .
 
cdm ni kiboko ! upande wa pili UNAWALIPA ZAIDI WASALITI KULIKO HATA WATENDAJI WAKE ! KITU KILICHOSABABISHA MANUNG'UNIKO MAKALI SANA , NA TETESI ZINADAI KWAMBA SIKU YOYOTE KITANUKA ! CC - VUTA NKUVUTE .
 
Chadema kama watatuliza vichwa na kufanya mikutano ya kujenga chama hasa maeneo ya vijijini, mwakani wanaweza wakafanikiwa" ccm inapata nguvu na support hasa kutoka vijijini, ambako hamna maji wala huduma za msingi!

thanks kwa ushauri nadhani wamekusikia ........have a nice day
 
Hapa Bunda kata ya Nyasura waliojiandikisha walikuwa 20,000 gamba lililoshinda lilichaguliwa na watu 3000.Shirikisha ubongo wako upate majibu ya kitaalamu! Sababu zinazowafanya watu wasipige kura zinafahamika na tumeshapata mwarobaini wake na uzuri watz wanazidi kujitambua siku hadi siku! Mbinu zenu za kitapeli zimeshakuwa zilipendwa hivyo tafuteni mbinu mpya
thanks
 
people ze power!! lazma kieleweke
ma ccm yanajua wizi tuu yangekua matenda haki leo hii hata habari ya kuongozwa na ccm tungeshasahauu
 
Kampeni za kuipeleka chadema madarakani 2015 ni mteremko kwa mabo yafuatayo
  1. Ni chama kinachoongozwa kutajwa na CCM majukwaani zaidi ya sera zao, na hivyo kuikifanya chama kifikie hata kwenye vijiji vya mbali
  2. Ni chama ambao kila kukicha matanko feki yanatoka kwa lengo la kukidhohofishs lakini hayafanikiwi .............this means what there is no need of press comference maana kuna watu wanatangaza chama indirect
  3. Ni chama kilichopitia msukosuko mwingi sana na BADO KIPO IMARA
  4. Ni chama ambacho kimewaaminisha watanzania kuwa kinweza kuwaajibishs viongozi kitu ambacho CCM wameshindwa

IN CHADEMA TANZANIAN, WE TRUST
Hawa ndiyo watetezi wa Chadema wanategemewa Chadema wakichukuwa dola ndiyo wawe mawaziri.
 
ok mkuu But endeleeni na matamko na kupanda jukwaani kutangaza chadema zaidi ya sera zenu
 
Hawa ndiyo watetezi wa Chadema wanategemewa Chadema wakichukuwa dola ndiyo wawe mawaziri.
Kuna mtu incompetent kama aliyepanga pale magogoni! Ni heri kuwa na mawziri darasa la saba lakini wachapa kazi na wadilifu kuliko kuwa na mawaziri maprofeseri na madoctori lakini mizigo kama maghembe and the co!
 
Hapa Bunda kata ya Nyasura waliojiandikisha walikuwa 20,000 gamba lililoshinda lilichaguliwa na watu 3000.Shirikisha ubongo wako upate majibu ya kitaalamu! Sababu zinazowafanya watu wasipige kura zinafahamika na tumeshapata mwarobaini wake na uzuri watz wanazidi kujitambua siku hadi siku! Mbinu zenu za kitapeli zimeshakuwa zilipendwa hivyo tafuteni mbinu mpya

Chalinze 2014. Kwikwikwi
 
porojo nyingiiiiii, kwenye kapu la kura less than 10%
DISGUSTING.

CDM ni chqma Dume, ni chama cha watu kinategemea nguvu ya umma na umma wa watanzania walio wengi wameshaamka...

Ma ccm yamebaki kutupatia promo inderect

Kampeni za kuipeleka chadema madarakani 2015 ni mteremko kwa mabo yafuatayo
  1. Ni chama kinachoongozwa kutajwa na CCM majukwaani zaidi ya sera zao, na hivyo kuikifanya chama kifikie hata kwenye vijiji vya mbali
  2. Ni chama ambao kila kukicha matanko feki yanatoka kwa lengo la kukidhohofishs lakini hayafanikiwi .............this means what there is no need of press comference maana kuna watu wanatangaza chama indirect
  3. Ni chama kilichopitia msukosuko mwingi sana na BADO KIPO IMARA
  4. Ni chama ambacho kimewaaminisha watanzania kuwa kinweza kuwaajibishs viongozi kitu ambacho CCM wameshindwa

IN CHADEMA TANZANIAN, WE TRUST
 
CHADEMA is the best ever political party in Tanzania, East & Central Africa, Africa & the World at large.
 
Back
Top Bottom